Huyo mtibeli mwenyewe huwa anasema mwanaume ndie kichwa cha familia, sasa iweje kichwa cha familia kiwe sawa na cha mwanamke?Hata bila bible sayansi tu inaonesha umbo(hadi ubongo) la mwanaume limejengwa kwa ajili ya utafutaji na umbo la mwanamke limejengwa kwa ajili ya kuzaa.Haiwezekani kiumbe kilichodizainiwa kuwa na uwezo wa kutafuta chakula,malazi na usalamavwake yeye pamoja na mke na watoto kipewe akili sawa na za kiumbe kilichodizainiwa kwa ajili ya kuzaa,kulishwa,kutafutiwa malazi na usalama wake.
Wanaume kama wewe mpo wachache mnoo narudia wachache♥️
Mtu anaeandika sana wakati anaandia kwenye social media Huwa ni kama kichaaNakuheshimu sana kaka Robert kwa sbb wewe ni mmoja wa watu wachache mliobakia JF wenye kuandika nyuzi zenye kuiheshimisha JF ila nimelog in kwa lengo moja tu,KUPINGA BANDIKO LAKO HILI.
PINGAMIZI ZANGU NI KAMA IFUATAVYO.
1)SIO KWELI KUWA "kihisia na kiakili mwanamke na mwanaume hawana tofauti yoyote ile"
a)KIHISIA...Hivi uko serious au unatania?!
Mwanaume angekua weak and unstable kihisia kama mwanamke hii dunia sijui ingekuaje.Thank 'god' mwanaume yuko strong and stable kihisia.
Mwanamke ana homoni zinazomyumbisha kihisia.Mwanamke anaweza kuvutiwa na wewe leo bila sababu na kesho ukamboa bila sababu.Na hii imedhibitishwa kisayansi.
b)KIAKILI....Mimi ni mwanamke ila nakubaliana na research zote zinazosema mwanaume ana IQ kubwa kuliko mwanamke.Mwanamke ana talanta zake nyingi nzuri tu ambazo mwanaume hana mfano upande wa details na kumbukumbu na uwezo mkubwa wa kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja na yote yakaenda sawa ILA kamwe hatakaa amzidi mwanaume akili.
Hata mwanamke asome vipi awe na exposure vipi atazidiwa akili tu na mwanaume aliyeko huko maporini asojua kusoma wala kuandika.Hata dunia ipinduke mwanamke hawezi kumzidi mwanaume akili.Nina mtoto wa kiume ana miaka 14(soon).Daah!Haka ka mtu ninakaheshimu coz kameshanishaurigi vitu vya maana.Kwanza hakaongei sana na hivyo ndiivyo ambavyo wanaume wengi wako halafu kakiongea kanakuacha ukitafakari.
Vile vile ukiniweka mimi na wanawake wenzangu nitawaacha wengi mbali kiakili.Namaanisha mimi ni mwanamke mwenye akili ila wanaume wote waliowahi kuwa wapenzi wangu waliniacha mbali kiakili.Ni watu hawaongei sana ila wakiongea wanaongea vya maana hadi pichu inaloa🤸
Kama wanaume wa Kitibeli wana akili sawa na za dada zao binafsi siwataki.Hawana mvuto😃
2)SIO KWELI KUWA "Wanawake wanatamaa ya ngono kama tulivyo wanaume".
Mtibel leo umeamkia wapi kakake.!!
Wapo wanawake wachache wana tamaa kali ya ngono ila kiuhalisia mwanaume ndie mwenye kiu za ngono za mara kwa mara.
Mwanamke utendaji wake mwingi ikiwa ni pamoja na matendo ya ngono unaendeshwa na hisia ambazo huamuliwa na ubongo wake ukoje kwa wakati huo.Mwanamke akiwa na furaha hana stress atatamani ngono ila ana mastress yake anaweza kukaa hata mwaka bila ngono na ukimgusa ataona kero ila mwanaume anaweza kufukuzwa kazi asubuhi na mchana akadindisha vizuri tu.
Halafu pia kaka Robert nafahamu unafahamu vinavyoandikwa JF vizuri na vibaya vinasomwa na wengi na kuna wanaovibeba kama vilivyo na kuvifanyia kazi hivyo ulichokiandika naweza kusema ni cha hatari.Ni hatari mwanamke kujiona una akili kumzidi mwanaume.Ndoa zitayumba kaka.
Naomba jinsia ya KIUME IHESHIMIWE.
Thank you for your attention to this matter✌️
Huyo mtibeli mwenyewe huwa anasema mwanaume ndie kichwa cha familia, sasa iweje kichwa cha familia kiwe sawa na cha mwanamke?
Amekosea, ila kukubali makosa yake mara nyingi huwa hawezi.atazungusha maneno atajaza maelezo mengiii ilimradi akuchanganye ili abaki na msimazo na mtazamo wake.
This is ego speaking, kwenye uzi wa Mtibeli ulitoa criticism flani hvi ngoja nii quote...Wewe urudi kwenye ile mijadala ya saikoloji ya mahusiano ,
Mimi humu JF nimeshajiwekea, kama ni kuchallenge mawazo ya mtu nitatoa comment moja au mbili. Kama ni mjadala ninafahamu nitajadili na nani, nini na kwenye topic zipi na kwanini.
Kama ni mjadala sina uelewa nao nitakaa nitasoma mawazo ya watu nijifunze.
Kuna sababu za kwanini sijajibu reply zako kule kwenye ule uzi, kila replay umetoa boko.
Sasa wewe nimekuweka mahali, kule kwenye ushauri wa kiasaikojia nimeona huwa unaeleza vizuri, attachment style na healing. Nikikukuta kule ntakujibu.
Nilipobold hapo; You can’t manipulate me into arguing with you kwa hili, Sio hatuna majibu, it’s not worthy the argument lol. (Kichwa cha habari kilikuwa wazi, maelezo ya mtoa uzi yako wazi, comments zake na wengine ziko wazi)
Kuacha wanaume wajibizane in the name of manipulation……? I don’t even know what’s suppose to imply, and how to you manage to make this about us again?
Ila we jamaa nilikuwa naku underate sana ujue kumbe una akili kubwa namna hii!?Mkuu binti Prida,
Kwanza nishukuru kwa heshima na mtazamo wako juu yangu.
Pili, nashukuru kwa kuniona kama miongoni mwa members ambao tunaifanya jamii yetu ya Jamiiforum na Tanzania kwa ujumla kuheshimishwa na mawazo na mitazamo yangu ninayoitoa humu JF ambapo kimsingi sisi wote ni ndugu tunaoishi kwenye nchi na dunia moja.
Nakupongeza kwa njia uliyochagua kunijibu hoja zangu. Ambapo umetumia njia halali na yenye heshima ukiipa kisogo njia ya matusi kama wafanyavyo ndugu zetu wengine humu. Hili nakupa kongole.
Mkuu mwanamke anatamaa ya mwili kama ilivyo mwanamke.
Swali muhimu hapa ni je Maadili na desturi yanaathiri tabia za mwili na kihisia?
Mfano, Dhana kwamba mwanaume halii au hatakiwi kutoa machozi ipo kisayansi au ni social construct?
😆😆😃😃
Kisaikolojia zipo aina mbalimbali za akili. Intelligences
Kuna Verbal intelligence, musical intelligence, mathematical intellgence n.k.
Zamani kulikuwa na dhana kama yako kwamba mwanamke hana akili ya kusoma masomo na taaluma za sayansi kama Udaktari, uinjinia, na mambo kama hayo.
Ilikuwa dhana tuu ya kijamii isiyo na ukweli wowote.
Siku hizi wapo maelfu kwa maelfu ya madaktari na mainjinia wanawake.
Wapo wanaume wenye IQ kubwa na wapo wanaume wenye IQ ndogo. Vivyohivyo wapo wanawake wenye IQ kubwa na wapo wanawake wenye IQ ndogo.
😄😄
Wadada wa kitibeli ni pisikali za kwenda na kichwani zimo vilevile
Hata wanaume tuko hivyo.
Kama mwanaume ana stress hawezi kuwa na hisia za ngono.
Ili udindishe kuna factors nyingi lazima ziwepo. Ikiwemo afya njema anbayo hapa tunakubaliana inatokana na kula vizuri, kunyws na kupumzika kwa wakati. Na usiwe na stress.
Kinachohatarisha ndoa kuyumba sio kuwa na Akili au kutokuwa na Akili.
Kinachohatarisha ndoa ni watu wawili wasiofanana kuamua kuishi pamoja.
Si huyo Nyoshi El Saadat.yupi huyo tena jamani
Suggestion yangu kuwa nikikukuta kwenye mjadala mwingine nitajadili na wewe ni suggestion binafsi. Unaweza jadili na wengine tatizo nini?This is ego speaking, kwenye uzi wa Mtibeli ulitoa criticism flani hvi ngoja nii quote...
"Jamii forums kuna tatizo la msingi la watu kuchanganya hizi dhana: asili (nature) , uhalisia (reality) nadharia(theory) maoni binafsi (opinion) ukweli (fact)" Jamii forums kuna tatizo la msingi la watu kuchanganya hizi dhana: asili (nature) , uhalisia (reality) nadharia(theory) maoni binafsi (opinion) ukweli (fact)"
Na mimi nikatoa POV yangu, kwa kusema
"Let's talk about reality here maana tukienda biologically tutaanza kusema kuna watu wanazalia na mapungufu, reality and theory are two sides of the same coin.
So binti kiziwi nataka leo nipate perspective nzuri from you huenda ila make complete sense to me"
Ila cha kushangaza you left me on red!! Huku interact..
Sasa unakuja hapa unasema sijui niende kwenye Maswala ya psychology who the hell are you to categorise me! And put me in a box?
Madam ukweli ni kuwa you've low logic to weight this topic. All you do is find ways to make us think you know something you're not aware off! Kuna mtu alikuwa anaitwa Jadda sijui amepotelea wapi.. Yeye alikua analeta reasons behind her arguments. Na ndo kitu pekee kinacho hitajika.
Sasa Mpo Sawa na mnaelewa watu watajuaje?
Wewe AKILI HUNA. Andika kama mtu anayejitambua mbona vijana wa miaka hii mnajichetua?Mimi kama mdhambi mstaafu ninaweza sema bila uoga kuwa Mtibeli ana maombolezo makubwa ya kugongewa. Ana mfululizo wa nyuzi nyingi kuongelea wanawake. Niko kwenye mfungo siku ya pili bila kufakamia kitimoto na ndizi 2 (pilipili usiweke) ili kumuombea kijana wetu Mtibeli.
Gentleman,Asante kwa yote.
Samahani kwa usumbufu ila naomba kuuliza.Wewe ndo umemficha mdogo wangu Lamomy?
Kuna kipindi nilikua naona unamrubuni kuwa utafungua kanisa umhonge sadaka sijui.
Kama yuko kwako mwambie nyumbani tunamuhitaji.
Nb:Nina aleji na siasa.