denoo G
JF-Expert Member
- Apr 4, 2026
- 1,590
- 4,952
Nakubaliana nawe.Mkuu
Narudia tena hii kauli..
"Mwanamke Akipenda shule akakuza ego baada ya kui integrate na wisdom ana geuka kuwa toxic tu."
Nakubaliana nawe.Mkuu
Narudia tena hii kauli..
"Mwanamke Akipenda shule akakuza ego baada ya kui integrate na wisdom ana geuka kuwa toxic tu."
Kuwa na EGO ni dhambi, especially EGO kama yako kujiamini unajua zaidi ya wengine mpaka kuwawekea makundi.Nitaichukua kama ilivyo maana imekuwa personal sana, May be ilikuwa ni makosa toka mwanzo kuomba unieleweshe kwanini tumeonekana ni mashabiki wa mtibeli kwa kutumia uzi mmoja wa jana.
Mtu kuwa na ego sio dhambi wala sio kosa kisheria.
Kwenye lastly hapo, sikumbuki kuzungumzia kitu hiko, usitwist maneno.
Okay nimeelewa.Kw
Kwenye suala la IQ kwangu naona wanaume na wanawake hawana tofauti.
Shida kwenye EQ kwa maoni yangu wanawake huathirika zaidi na hisia kwenye kutatua changamoto au kutafuta majibu katika masuala ya kiuchumi na kijamii siyo mambo ya taaluma za sayansi na teknolojia.
Siasa naiweka kwenye kundi masuala ya kijamii.
Haya mkuuHapo umejichanganya madam!
Mfano niingie baa mimi physically attractive ila kapuku, Sina hela ya kukuhudumia nipo na mjomba wangu yeye ana mapene ila sasa physical attraction is zero, ana kitambi sura ngumu na ukwasi wa kutosha Je hilo jicho litaendelea kuwa kwangu?
. It's not physical attraction y'all are into! It's safety, security and power. Muwe wakweli bwanaa
Para ya kwanza nakuachia wewe hiyo.Kuwa na EGO ni dhambi, especially EGO kama yako kujiamini unajua zaidi ya wengine mpaka kuwawekea makundi.
Umezungumzia issue ya gender ndio nikakujibu hata JF ipo, wewe ulidai JF haipo, ndio nikakuuliza kama kwenye society yetu ipo, iweje JF isiwepo ikiwa members wa JF ndio wanaotoka kwa society yetu?
Naona hata hukumbuki ulivyoviandika mwenyewe!.
Bado naamini umempinga mleta mada kwasababu ya gender, sababu kila nikisoma majibu yako kwenye comments mengi hayajajitosheleza.Para ya kwanza nakuachia wewe hiyo.
Ya pili nilikuwa najaribu kukuonesha kuwa hatujampinga prida kwasababu ya gender, mara nyingi JF wanawake tunateteana kwasababu ni kundi ambalo kwa maoni yangu ni vulnerable. Contextually JF imetulazimisha kuteteana, hivyo kama tumempinga mleta mada usiplay gender card.
Sijasahau nilichosema, sikumaanisha ulivyotafsiri.
Sasa kuna uhalisia gani hapo?Haya mkuu
Mfano unaenda store kununua doll, macho yako at first glance, si unavutiwa na doll kwanza ndio unajua linavyo function na cost yake...ni mfano tu niambie kitu cha kwanza ni nini...?!
Second, watu hawana njia ya kuonyesha wana shilling ngapi bank kwenye paji la uso ila mwanaume attractive unamuona at first glance..
Tatu kama wewe ni mbaya, huwezi kubadilisha huo ukweli kwa kiwango cha pesa, na mkiwekwa pamoja mbele ya wanawake watamuangalia zaidi mtu attractive, ndio second waangalie shida zao wamchague mjomba wako..initially mjomba wako hana chance..
Lastly only fraction of women prefer older rich men, most prefer vijana wenzao waliowapita miaka mitatu minne. Wewe jukusanyie pesa usioe ukadhani pesa zako ndizo zitakupa mwanamke potential uzeeni..
Shikilia hapo hapo umesema?Tatu kama wewe ni mbaya, huwezi kubadilisha huo ukweli kwa kiwango cha pesa, na mkiwekwa pamoja mbele ya wanawake watamuangalia zaidi mtu attractive, ndio second waangalie shida zao wamchague mjomba wako..initially mjomba wako hana chance..
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai mh, Reginald Mengi alifanyajee.. Nenda mavyuoni ukaone wazee wa navyo kula nyama mbichi.Lastly only fraction of women prefer older rich men, most prefer vijana wenzao waliowapita miaka mitatu minne. Wewe jukusanyie pesa usioe ukadhani pesa zako ndizo zitakupa mwanamke potential uzeeni..
Savana au ka red wine ka brand yeyote kakake
Maelezo Meeeeeeeeengi,Hivi mnavyotoa blank statement kuwa wanawake wako hivi wanaume wako vile...mnawazaga nini...?
Binafsi naichukulia for every theory/assumptions inayowahusu binadamu kuna individual differences...hatuwezi kuwa all the same sababu tuna different genetic makeup and different upbringing (nurture), zinazotushape/guide kwenye vitu vingi.,Kwa hio kuja kuwaweka kwenye kapu watu wote hawa, wako vile au hivi ni upuuzi.Assume naenda na assumption yako,wanaume wana akili kuliko wanawake, mfano leo uende kutest watu je hutakuta mwanamke anayewazidi wanaume kiakili????
Wewe brush ego za wanaume wa Jf kuwa wanaume wanawazidi wanawake kiakili, uhalisia unaujua mwenyewe, kuwa wote tuko the same..kwanza mwanao sio representative wa all 14-years olds...kuna 14 years old wengi tu mapoyoyo!
pili ;si kweli kusema mwanaume wa kijijini ambae hajasoma ana akili kuliko mwanamke aliyesoma.Shule inaongeza uwezo kiakili. Kama kigezo ulichotumia ni IQ as a measure of intelligence...basi ujue IQ inaongezeka na shule. Hivyo mwanamke aliyesoma sio sawa na mwanaume ambae hajasoma...
Mwisho mawazo yangu; tuko generally the same wanawake na wanaume tunatamani/tuna hisia. WOTE tunatamani/tafuta mtu/partner atakayetupa furaha, security and connection.
kwenye moja wapo ya psychological revolutionary theories ni kwamba WOTE(majority)tunatamani/angalia physical attraction ya partner. Good physical qualities means good genes ..and good genes means when we mate we produce good quality offsprings! watakao carry our genetic material to the next generation! Psychology ina assume we mate and reproduce because we want our DNA to be carried to the next and next generation. And ugly/undesirable offsprings won't carry our DNA sababu no one will desire and want them. So genetic material wont be transferred(Successful mating).stupid but ipo..lol
Bila kuwachanganya further lol, mfano hii physical attraction; akiingia mwanaume bar ambae generally ni attractive unadhani wanawake hawatamuangalia mara mbili mbili? Je hapo tunakuwa hatujatamani???? Binafsi naamini kuna kuvutiwa in initial contact, unachofanya baada ya hapo ndio tunatofautiana...
Na, pia ni rahisi kwa mwanaume handsome au mwanamke mrembo kufanya umalaya, kuliko mwanaume/mwanamke mbaya because of their attractiveness.... hii inatukumbusha INITIALLY wote wanawake na wanaume tunatamani...!
Nimeongelea physical attraction....mnaweza kuongelea mengine lol
Becky
Vizuri.Bado naamini umempinga mleta mada kwasababu ya gender, sababu kila nikisoma majibu yako kwenye comments mengi hayajajitosheleza.
Hii comment yako imejaa EGOISM na ina lots of gap.😅😅😅😅
Kitu kidogo sana hamjakielewa enyi self proclaimed intelligent individual.
-Bandiko rahisi sana lile, You keep twisting it to fit your own sense of reality.
-Mnapotosha hoja ya Mtibeli ili iwe rahisi kuishambulia. (hakuna mahali wanaume hawajaheshimiwa katika lile bandiko)
-Mnatumia uzoefu binafsi kama sheria.
-Mnatumia rejea za kihistoria ambazo zina mapungufu kadhaa (Hapo ulipowataja magenius wa zamani, ni kama huelewi kwanini iko hivyo ilivyo,too low)
Mnachagua ushahidi unaokubaliana na misimamo yenu pekee, hii confirmation bias.
Ni muhimu sana hoja ikiletwa mwenye akili aangalie/atafute synthesis.
Ama sivyo mnapenda kubishana tu sio kujadili.
Inakufikiaje mkuu,,kwa lipa namba ama ni vip mkuu.Savana au ka red wine ka brand yeyote kakake
Watakuja kukuambia kua hatukuwezeshwaAngalia wanasayansi wote duniani, kuna wanawake wangapi? Newton, Einstein nk. Wanafalsafa, Plato, Socrates, Aristotle nk. Kuna jina la kike hapo?
Kama unakubali wote initially tunatamani attractive person basi unakubaliana na theory wote tuko sawa, tuna hisia sawa..!Sasa kuna uhalisia gani hapo?
Si umerudia nilicho Sema mimi?
Mambo hayo ya doll mkuu yanakwenda kwenye pscho analysis. Hapo Kuna factors nyingi... Pesa, priority na matumizi. So it's not a one size fits all. Na inakuwa tofauti kidogo na sexual attraction.
Shikilia hapo hapo umesema?
Wanaangalia physical kwanza, then wanaangalia changamoto, why?
Jibu ni lile lile madam, kwanini asiende kwa broke and attractive? Hata Hao waliosoma na kujipata hakuna aliye wahi kuchukua mwanaume fukara na asiye na maisha, he's not intimate appealing!
So unakubaliana na mimi ngoja ni bold kabisa it was physical at first but was out - weighed by safety, security and power"
Je tuna cha kuongezea?
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai mh, Reginald Mengi alifanyajee.. Nenda mavyuoni ukaone wazee wa navyo kula nyama mbichi.
Umeolewa?samahani lakini kama swali langu litakukera unisameheNakuheshimu sana kaka Robert kwa sbb wewe ni mmoja wa watu wachache mliobakia JF wenye kuandika nyuzi zenye kuiheshimisha JF ila nimelog in kwa lengo moja tu,KUPINGA BANDIKO LAKO HILI.
PINGAMIZI ZANGU NI KAMA IFUATAVYO.
1)SIO KWELI KUWA "kihisia na kiakili mwanamke na mwanaume hawana tofauti yoyote ile"
a)KIHISIA...Hivi uko serious au unatania?!
Mwanaume angekua weak and unstable kihisia kama mwanamke hii dunia sijui ingekuaje.Thank 'god' mwanaume yuko strong and stable kihisia.
Mwanamke ana homoni zinazomyumbisha kihisia.Mwanamke anaweza kuvutiwa na wewe leo bila sababu na kesho ukamboa bila sababu.Na hii imedhibitishwa kisayansi.
b)KIAKILI....Mimi ni mwanamke ila nakubaliana na research zote zinazosema mwanaume ana IQ kubwa kuliko mwanamke.Mwanamke ana talanta zake nyingi nzuri tu ambazo mwanaume hana mfano upande wa details na kumbukumbu na uwezo mkubwa wa kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja na yote yakaenda sawa ILA kamwe hatakaa amzidi mwanaume akili.
Hata mwanamke asome vipi awe na exposure vipi atazidiwa akili tu na mwanaume aliyeko huko maporini asojua kusoma wala kuandika.Hata dunia ipinduke mwanamke hawezi kumzidi mwanaume akili.Nina mtoto wa kiume ana miaka 14(soon).Daah!Haka ka mtu ninakaheshimu coz kameshanishaurigi vitu vya maana.Kwanza hakaongei sana na hivyo ndiivyo ambavyo wanaume wengi wako halafu kakiongea kanakuacha ukitafakari.
Vile vile ukiniweka mimi na wanawake wenzangu nitawaacha wengi mbali kiakili.Namaanisha mimi ni mwanamke mwenye akili ila wanaume wote waliowahi kuwa wapenzi wangu waliniacha mbali kiakili.Ni watu hawaongei sana ila wakiongea wanaongea vya maana hadi pichu inaloa🤸
Kama wanaume wa Kitibeli wana akili sawa na za dada zao binafsi siwataki.Hawana mvuto😃
2)SIO KWELI KUWA "Wanawake wanatamaa ya ngono kama tulivyo wanaume".
Mtibel leo umeamkia wapi kakake.!!
Wapo wanawake wachache wana tamaa kali ya ngono ila kiuhalisia mwanaume ndie mwenye kiu za ngono za mara kwa mara.
Mwanamke utendaji wake mwingi ikiwa ni pamoja na matendo ya ngono unaendeshwa na hisia ambazo huamuliwa na ubongo wake ukoje kwa wakati huo.Mwanamke akiwa na furaha hana stress atatamani ngono ila ana mastress yake anaweza kukaa hata mwaka bila ngono na ukimgusa ataona kero ila mwanaume anaweza kufukuzwa kazi asubuhi na mchana akadindisha vizuri tu.
Halafu pia kaka Robert nafahamu unafahamu vinavyoandikwa JF vizuri na vibaya vinasomwa na wengi na kuna wanaovibeba kama vilivyo na kuvifanyia kazi hivyo ulichokiandika naweza kusema ni cha hatari.Ni hatari mwanamke kujiona una akili kumzidi mwanaume.Ndoa zitayumba kaka.
Naomba jinsia ya KIUME IHESHIMIWE.
Thank you for your attention to this matter✌️
Kama unakubali wote initially tunatamani attractive person basi unakubaliana na theory wote tuko sawa, tuna hisia sawa..!
Hata sielewi unapinga nini, kubishana na mtu kama hivi ni ngumu sana, so, bye!
Ruka usisome, mbona simple..Maelezo Meeeeeeeeengi,
Siwezi kusoma.Ruka usisome, mbona simple..
🚮🚮🚮🗑️Nakuheshimu sana kaka Robert kwa sbb wewe ni mmoja wa watu wachache mliobakia JF wenye kuandika nyuzi zenye kuiheshimisha JF ila nimelog in kwa lengo moja tu,KUPINGA BANDIKO LAKO HILI.
PINGAMIZI ZANGU NI KAMA IFUATAVYO.
1)SIO KWELI KUWA "kihisia na kiakili mwanamke na mwanaume hawana tofauti yoyote ile"
a)KIHISIA...Hivi uko serious au unatania?!
Mwanaume angekua weak and unstable kihisia kama mwanamke hii dunia sijui ingekuaje.Thank 'god' mwanaume yuko strong and stable kihisia.
Mwanamke ana homoni zinazomyumbisha kihisia.Mwanamke anaweza kuvutiwa na wewe leo bila sababu na kesho ukamboa bila sababu.Na hii imedhibitishwa kisayansi.
b)KIAKILI....Mimi ni mwanamke ila nakubaliana na research zote zinazosema mwanaume ana IQ kubwa kuliko mwanamke.Mwanamke ana talanta zake nyingi nzuri tu ambazo mwanaume hana mfano upande wa details na kumbukumbu na uwezo mkubwa wa kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja na yote yakaenda sawa ILA kamwe hatakaa amzidi mwanaume akili.
Hata mwanamke asome vipi awe na exposure vipi atazidiwa akili tu na mwanaume aliyeko huko maporini asojua kusoma wala kuandika.Hata dunia ipinduke mwanamke hawezi kumzidi mwanaume akili.Nina mtoto wa kiume ana miaka 14(soon).Daah!Haka ka mtu ninakaheshimu coz kameshanishaurigi vitu vya maana.Kwanza hakaongei sana na hivyo ndiivyo ambavyo wanaume wengi wako halafu kakiongea kanakuacha ukitafakari.
Vile vile ukiniweka mimi na wanawake wenzangu nitawaacha wengi mbali kiakili.Namaanisha mimi ni mwanamke mwenye akili ila wanaume wote waliowahi kuwa wapenzi wangu waliniacha mbali kiakili.Ni watu hawaongei sana ila wakiongea wanaongea vya maana hadi pichu inaloa🤸
Kama wanaume wa Kitibeli wana akili sawa na za dada zao binafsi siwataki.Hawana mvuto😃
2)SIO KWELI KUWA "Wanawake wanatamaa ya ngono kama tulivyo wanaume".
Mtibel leo umeamkia wapi kakake.!!
Wapo wanawake wachache wana tamaa kali ya ngono ila kiuhalisia mwanaume ndie mwenye kiu za ngono za mara kwa mara.
Mwanamke utendaji wake mwingi ikiwa ni pamoja na matendo ya ngono unaendeshwa na hisia ambazo huamuliwa na ubongo wake ukoje kwa wakati huo.Mwanamke akiwa na furaha hana stress atatamani ngono ila ana mastress yake anaweza kukaa hata mwaka bila ngono na ukimgusa ataona kero ila mwanaume anaweza kufukuzwa kazi asubuhi na mchana akadindisha vizuri tu.
Halafu pia kaka Robert nafahamu unafahamu vinavyoandikwa JF vizuri na vibaya vinasomwa na wengi na kuna wanaovibeba kama vilivyo na kuvifanyia kazi hivyo ulichokiandika naweza kusema ni cha hatari.Ni hatari mwanamke kujiona una akili kumzidi mwanaume.Ndoa zitayumba kaka.
Naomba jinsia ya KIUME IHESHIMIWE.
Thank you for your attention to this matter✌️
Wewe hapo !?Siwezi kusoma.