denoo G
JF-Expert Member
- Apr 4, 2026
- 1,590
- 4,952
Nimerudia kusoma huu uzi wa mleta mada, sijaona kosa lake, yupo sahihi asilimia kubwa.
- Kama wanaomponda wanasema ametumia mawazo/hisia zake, kwani yeye mtibeli alivyoleta ule uzi wake alitumia mawazo ya nani mwingine zaidi ya mawazo yake binafsi?
- Baadhi wanamponda mleta mada, but nikisoma criticism zao hazielweki, wengine wameegemea kwamba some people wana attack mtibeli's personality, kama ni hivyo hao wapuuzwe wa focus na wale wanaoenda kujibu hoja.
- Mleta mada amezungumzia upeo wa mwanaume kwenye maisha kwa ujumla, hii ni zaidi ya maarifa anayopata mtu darasani.
Unaweza kuelimika sana kwa level ya education, but generally outside your field ukawa empty. Hapo ndipo mwanaume ana prevail, naamini hii ndio idea ya mleta mada.
Nilichojifunza kwenye huu uzi: Wapo fans wa mtibeli wanaoamini jamaa ni malaika hakosei, tena jambo nililoliona vizuri, ambalo naamini ni tatizo kwenye jamii yetu ni hili;
● Sababu mleta mada ni mtoto wa kike, basi wengi wanaompinga ni wa kike wenzake, hii ni natural, iko hivyo vyuoni mpaka maofisini, wakike kwa wa kike mara nyingi huwa hawaivi pamoja.
Mwisho niseme tu, watu wajifunze kuchambua mambo kwa upana wake bila kuwa influenced na ushabiki wa mtu, hakuna malaika humu ndani, na huwezi kuwa GT kama unatembea na mawazo ya kumlinda mtu muda wote hata kama akikosea.
Mleta mada nikupongeze, umefunguka na umeonesha una uthubutu. Hiyo ndio maana ya JF, umekataa kuwa mwana kondoo wa mtibeli kwa maelezo yanayoeleweka kabisa, isipokuwa kwa wachache wasiotaka akoselewe.