Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Sawa sawa, ili tusipoteze mlengo wa mada. Naomba nifute comments zangu kuhusu ilo suala. Naomba nawe ufanye hivyo piaTumekusamehe bure ila umuhimu tunao zaidi ya huo uliousema.
Sawa sawa, ili tusipoteze mlengo wa mada. Naomba nifute comments zangu kuhusu ilo suala. Naomba nawe ufanye hivyo piaTumekusamehe bure ila umuhimu tunao zaidi ya huo uliousema.
Nitakujibu pridaWakuu de Gunner denoo G Titicomb Natafuta Ajira, my golden brother Robert Heriel Mtibeli naomba tufunge mada yetu kwa nyie kunielewesha tena kuhusu suala la hisia.
Hivi hisia si ndio feelings?
Hapa si ndio kuna mambo ya emotions, ma mood swings na ma stress eeh?
Na wote si tunakubali kuwa hormone imbalance ina affect hisia za binadamu eeh?
Sasa naona wengi wamekubaliana na Robert kuwa kwenye hisia wote tuko sawa ila mimi bado akili yangu imegoma kuona usawa ktk hili sababu
1)Katika siku 30 za mwezi hormones huzigawanya siku za mwanamke kwenye mafungu ya hisia tofauti tofauti.
Siku ya 1-5 hapa tunakua mwezini.Kwa wanawake wengi hizi ni siku za mawenge na hisia za huzuni na hasira.Tumbo,mgongo,kichwa vinauma kizunguzungu no appetite.Binafsi huwa sijisikii kuongea na mtu.
Siku ya 6-13 hapa tunakua kawaida tu.Hormone zinakua vile zinapaswa kuwa.Tunakua na hisia zisizosukumwa na hormones.
Siku ya 14-17 mwanamke huwa na hisia za furaha.Furaha itokanayo na kuongezeka kwa hormone ya estrogene na testosterone.Hapa migenye kama yote.Hisia za migenye pia ni matokeo ya kuongezeka kwa hizo hormones.Utelezi kama wote.Ni kipindi cha ovulation.Ni siku za mahaba.Siku za mood nzuri.Unakua mchangamfu na kind kwa kila mtu.Hapa baba na watoto wote wanamfurahia mama.Hichi kipindi kama baba ni min -me utaona ananywea mbege zake nyumbani chini ya mti wake wa mparachichi huku akiangalia kahawa na migomba yake kwa mbali.
Siku ya 18-28 siku za karibu na hedhi.Hizi siku asilimia kubwa ya wanawake(sio wote) wanakua na hasira za karibu.Mistress kama yote.Hizi ni siku ambazo baba na watoto kuna ki sauti huwa kiinawaambia(ga) This woman is from hell😃 na kama baba ni min -me hizi siku atakaa bar hadi afukuzwe na akifika tu home pombe yote inakata na anaingia chumbani kwa kunyata.
Tuachane na jinsi menstrual circle inayumbisha hisia zetu.Tuje kwenye ujauzito.Hormones zinaweza kubadilisha kabisa hisia za mwanamke.Mwanamke anaweza kumchukia mumewe au mwanae fulani na kumpenda mchunga ng'ombe wao kuanzia mimba inatunga hadi anqjifungua.Tukiwa preggo tunakua veery sensitive na harufu.Kitunguu kinaweza kaangwa mtaa wa 3 mimi nikatapika huku.Naweza kupenda au kuchukia jasho la mume wangu.Ikitokea nimelichukia sitatamani kabisa uniguse na 'shetani' /hormone zinaweza fanya nivutiwe na harufu ya shamba boi wetu.Ikitokea hivyo nitakua natamani awe karibu yangu sbb harufu yake inafanya nijisikie vizuri.Inanipa hisia za furaha.
Tukiachana na hayo mjamzito anakua very emotional.Kulia na kufurahia vitu vya kijinga ni kawaida.Wakati niko preggo nilikua nalia kila nikisikia Jotta akiimba ule wimbo wa Worthy is the lamb.Mr. wangu alikua akiusikia tu alikua ananyanyuka anaondoka zake coz alikua akinibembeleza ndo hisia za kulia zilikua zinazidi😃
Baada ya kujifungua kuna wanawake wanapata post natal depression kwa kama miezi sita hivi.
Kumbuka mwanamke atapitia vipindi hivi vya kumyumbisha kihisia kila baadhi ya siku za mwezi na kila miezi 9 ya kila mimba atakayobeba na kila post natal ya kila mimba atakazobeba na hapo bado mazingira ya kumyumbisha kihisia hayajaisha kuna kuzimu ya menopause inamsubiri.
Wote tunajua jinsi menopause inavuruga wanawake kihisia.Mwanamke anakua very unstable emotionally.Anakua mbogo.Hataki kuguswa.Anaweza hata kuhama zake chumba aepuke 'kero' za night vigil na morning glory.Na hapa kama mume ni min -me hichi ndo kipindi atahamia zake kwenye vilabu vya mbege.Nyumbani atarudi tu kubadili nguo.
Wapendwa wangu niliowakwoti ninawaheshimu na sina shaka na uwezo wa vichwa vyenu hivyo ninaomba mnieleweshe kwa lugha nyepesi bila kutumia viingereza vyenu vigumu vyenye terminologies za havard na university of Massachusetts.Bear in mind mimi ni mwalimu wa chekechea tu hivyo naomba nieleweshwe.
1)Mwanaume ana siku ngapi ambazo naturally tu inatokea zinayumbisha hisia zake ambazo tunaweza kuziilinganisha na siku za za kuyumba kihisia za mzunguko wa hedhi wa mwanamke.?
2)Najua mwanaume habebi mimba ila naomba kujuzwa katika baiolojia ya mwanaume ni kipindi gani maumbile yake naturally tu huvuruga hormones zake na kuvuruga hisia zake kwa miezi 9 au inayokaribia na hiyo.
3)Ni kipindi gani ktk mabadiliko ya mwili wa kiume mwanaume na yeye hupata kitu kinachofanana na post natal depression?
4)Ni kipindi gani mwanaume na yeye huwa unstable and weak kihisia kama awavyo mwanamke aliyeko kwenye menopause.?
Asanteni🙏
Ndio maana majibu ya watu wengi tangu kwenye uzi wa mtibeli yana sema.., Mwanamke na mwanaume kihisia na kiakili wanafanana kwa kiasi kikubwa kuliko wanavyotofautiana.Maelezo yako ni marefu lakini unajipinga wewe mwenyewe. Tuseme tu ukweli umekataa kukubali kwamba haupo sahihi. Kilichobaki kwako ni kufanya siasa tu hapa.
Kiakili na kihisia mwanaume na mwanamke wana tofauti kubwa sana, mfano kwanini mwanaume ni jasiri na mwanamke ni muoga? kwa sababu kihisia na kiakili wametofautiana. Wangefanana kwenye hivyo vitu viwili basi wote wangekua majasiri au wangekua waoga
de Gunner unaelewa maana hii kitu?Sawa sawa, ili tusipoteze mlengo wa mada. Naomba nifute comments zangu kuhusu ilo suala. Naomba nawe ufanye hivyo pia
Interesting.Actually, nilimaanisha kuwa Tukiachana na maneno ya kulinganisha gender which of course yamekuwa bcoz of indoctrination. Psychology dynamics na mabadiliko ya kijamii..
Kinabaki kitu mama, survival..
Survival does not care who's right it cares who has dominating energy.
And the dominating energy prevails.
Binadamu aliyetawaliwa na pschological wealth anaweza Dhani anauwezo wa kubadili natural balance ya survival by just thinking his/her way into it...
Nothing changes because, psychology maybe an illusion to trick the mind into something the body can't.. (illusion of imagination)
Hii ni metaphysical perspective ambayo ego na human conditioning itapigana tooth and nail kuikataa.. Ni Sawa na dini au Imani fulani... Ila tukija kwenye uhalisia zote ni man made projects.
So wengi huwa wanaingia mazima mazima kwenye kushikamana na what feels real in the mind without considering the energy perspective of it.
Interesting.
Kwamba: no matter what dunia inabadilika halafu inaangukia pale pale (nature) sio?
Maana yake nyingine ni kuwa, no matter tunavyojitahidi kufukia gap kati ya ME na KE gape linazidi kuwepo sababu asili inatulazimisha kuangukia circle ile ile, wanaume kuwa mbele na wanawake kuwa nyuma (Reflection kwenye jamii ndio imekupa hili jibu)
Uko sawa, lakini bado hauja-consider factor zingine ambazo zimekupekelekea kudraw hii conclusion.
Truth is nilielewa kuwa ego yako inanitandika.Nimeelewa sana wise girl, mwanzoni ego yangu haikuruhusu..😂
Mbona sipati mrejesho wa comment yangu ya survival? Naona ume like tu!
For sure na haikuwa mimi tu, wewe ndo ulianza.. Sema it's overTruth is nilielewa kuwa ego yako inanitandika.
Nimejibu, hapo chini, Comments yako ime-make sense, nikirate kwa uelewa wangu binafsi naiweka 8 out of 10, bado sina concept nzuri ya kukanusha hiyo 2 ila naliona tobo.
Kuna vitu unaficha hutaki kukubali sijui mtibeli alikupa nini... Mental orgasm can be!.Ndio maana majibu ya watu wengi tangu kwenye uzi wa mtibeli yana sema.., Mwanamke na mwanaume kihisia na kiakili wanafanana kwa kiasi kikubwa kuliko wanavyotofautiana.
Baada ya kuona kuwa tunafanana kuliko tunavyotofautiana ndio tunaweka vigezo ili tupate mzani wa kupimia. Vigezo hivi hatuvitoi tu kwa kujisikia ni vile vilivyojadiliwa /kufanyiwa tafiti tofauti tofauti.
Mimi nilimuunga mkono mtibeli 100, sio kwasababu alinipa mental orgasm (alinifurahisha) bali kwasababu aliibua kitu cha ukweli/uhalisia lakini hakizungumziwi mara nyingi, Kwa upande wa pridah baada ya kusoma watoa comments waliomuunga mkono nikagundua kuna vitu yuko sahihi, kuna engo yuko sahihi. Na labda tuseme wote wako sahihi katika engo tofauti.
Hizi mada ni kubwa, pana sana, pengine wanaweza kuja waandiiishi wengine 10 wakaleta engo zingine 10 tofauti na wakawa sahihi.
Labda uligusa kubayaNdo mitusi yote ile😃😃
Kumbe kachokozi ww😆Ndo mitusi yote ile😃😃
Again umejibu sehemu ndogo tu ya nilichoandika, kumuunga mkono mtibeli kwa 100.Kuna vitu unaficha hutaki kukubali sijui mtibeli alikupa nini... Mental orgasm can be!.
You are claiming unataka majibu ya kitafiti, binafsi naamini hoja alizoweka Pridah kuzungumzia mood swing upande wa wanawake, ni complete matokeo ya kitafiti.
Ajabu unasema 100% una support mtibeli ambaye binafsi sikumbuki kwenye andiko lake kudai wanawake na wanaume wako sawa kihisia, kama alitumia tafiti yoyote, it was complete his own thoughts!.
Ndio maana unaandika; "mtibeli aliibua kitu cha ukweli na uhalisia lakini hakizungumziwi".
Nijuavyo, "kuibua" maana yake ni kutoa, kufichua, au kuanzisha kitu ambacho kilikuwa kimefichika [google], sasa hapo kuna tafiti gani mpaka umuunge mkono mtibeli 100%?! Au mtibeli ndie tafiti yako!.
Tafiti inatakiwa iwe proven na relevant authorities ndio ithibitishwe, sasa hiyo ya mtibeli ilithibitishwa wapi?!
I still believe you don't know what you are writting up until now!.