Waafrika hawakutoka kwenda kwa wazungu kwa sababu Africa ilikuwa na ardhi ya kutosha kuzalisha chochote na walikuwa wanaweza kutembea porini bila hata nguo kwa sababu ya joto.Wame-earn place yao ndio. Kwanini waafrika hawakutoka huku kwenda kuwatawala wazungu? Because our forefathers were weak and idiots. Kwanini hao venezuela wanashindwa kwenda pale white house kumchomoa trump? Kwa sababu US ni superpower. Hiyo status ya superpower ilitengenezwa na akili kubwa. Usije ukaniletea upuuzi wa morality hapa. That is a comfortable zone for weaks and cowards.
Hii ni morality😁hata masuala yanayofanywa na wanaume mfano ufisadi, ushoga n.k huwa napingana nayo pia
Nani amekuambia vita inapiganwa na wajinga? Unaweza kurusha hata ndege ya kivita moja wewe?Kama mwanaume yupo juu kiakili kuliko mwanamke asingesababisha vita kuu zote za Dunia, Crusades, Jihads, genocides, holocausts, civil wars na mauaji mengine yote yaliyosabibisha mabilioni ya watu kuuwawa.
Kama wanaume wangekuwa na akili kuliko wanawake wasingekuwa wanaongoza kwa uhalifu na kujazwa magerezani wengi karibia 90% kuliko wanawake.
Mengine yote uliyoandika ni emotions zaidi kuliko facts au uhalisia.
Mkuu endelea kutafuta ajira tu.Nani amekuambia vita inapiganwa na wajinga? Unaweza kurusha hata ndege ya kivita moja wewe?
Nani amekuambia uko magerezani kuna wajinga watupu?
Wewe mwenye fact mbona hauleti hata muongozo tu. Nimekuuliza uko juu ni nyanja gani kiwastani wanawake wanalinga na wanaume? mpaka sasa hivi unaluka luka tu. Sihitaji hata unitajie data. Wewe sema tu ni nyanja fulani mimi nitatafuta takwimu mwenyewe
Hatukutoka kwa sababu hatukua na akili ya udadisi kuna nini uko nje ya mipaka yetu. Na hata hao wazungu walikuja hapa wakiwa tayari wana maendeleo zaidi yetu mfano silaha za kisasa zaidi ndio maana wakaweza kututawala. Kwahiyo kiujumla mchakato mzima wankututawala waliufanikisha kwa sababu walituzidi akiliWaafrika hawakutoka kwenda kwa wazungu kwa sababu Africa ilikuwa na ardhi ya kutosha kuzalisha chochote na walikuwa wanaweza kutembea porini bila hata nguo kwa sababu ya joto.
Ukisema unapinga ushoga halafu haujali morality ni kuchanganyikwa (contradiction).
Unaoanisha masuala mawili ambayo yamejibiwa kitofauti, au haujaona utengano wa hizo aya katika kuzijibu.Hii ni morality😁
Naona kichwa chako ni kizito sana kuelewa. Nikikuambia kwanini venezuela anashindwa kwenda marekani kumchomoa trump? nilijua kabisa utakuja na hoja ya morality ndio maana nikasema usilete huo ujinga maana hicho ni kichaka cha watu dhaifu na waoga. Wazungu wametutawala mpaka leo kwanini tumeshindwa kusawazisha na sisi tuwatawale wao.? Mpunbavu atasema tuna morality lakini ukweli ni Kwa sababu hatuna uwezo huo.Hii ni morality😁
Comoon..! You are better than thisMkuu endelea kutafuta ajira tu.
Nimekujibu kulingana na wewe ulivyouliza, lakini naelewa kabisa umetoka nje ya mada. Umekuja na maswali ya makaburu, vita na makolokocho kibaoInafiti, mwenzako ameshakubali wali earn place yao.
Paragrafu yako ya kwanza imenichekesha sana mkuu.Kwa hiyo walitembea uchi kufurahia kipupwe sio?Waafrika hawakutoka kwenda kwa wazungu kwa sababu Africa ilikuwa na ardhi ya kutosha kuzalisha chochote na walikuwa wanaweza kutembea porini bila hata nguo kwa sababu ya joto.
Ukisema unapinga ushoga halafu haujali morality ni kuchanganyikwa (contradiction).
Kwenye siasa na uchumi ni MweupeMkuu Natafuta Ajira wewe ni akili kubwa. Hii mada watu walishaanza kukubali feminists wameshinda, wewe umejibu kitaalamu sana na umebadilisha matokeo. Sasa diversify mada zako njoo hadi kwenye siasa na uchumi, naamini kuna madini uta-share yatasaidia wengi
Kwa mujibu wa akili mnemba,Akili ni nini
Nywele za NyabhingAkili ni nini
Ha ha ha hq hatarimwanaume anaweza kufukuzwa kazi asubuhi na mchana akadindisha vizuri tu.