Nimekwenda DAWASCO Kimara, majibu nimepewa hadi nimemkumbuka mwenda zake

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
Ofisi za Umma zimeanza kurudi enzi za Kikwete aisee, huduma mbovu majibu mabovu na wanajua huna pa kuwapeleka.

Dawasa Kimara kumbukeni mnafanya huduma jamani mtatuua 😂😂 yaani imefanya nimkumbuke marehemu Magufuli aisee, may he continue rest in heaven sasa namwelewa japo too late.
 
Ofisi za Umma zimeanza kurudi enzi za Kikwete aisee huduma mbovu majibu mabovu na wanajua huna pa kuwapeleka.
Dawasa Kimara kumbukeni mnafanya huduma jamani mtatuua 😂😂😂😂 yaani imefanya nimkumbuke marehemu Magufuli aisee may he continue rest in heaven sasa namwelewa japo too late
Tena zimerudi kule kwa kasi.

Tatizo ni katiba
 
Ofisi za Umma zimeanza kurudi enzi za Kikwete aisee huduma mbovu majibu mabovu na wanajua huna pa kuwapeleka.
Dawasa Kimara kumbukeni mnafanya huduma jamani mtatuua 😂😂😂😂 yaani imefanya nimkumbuke marehemu Magufuli aisee may he continue rest in heaven sasa namwelewa japo too late
Ungetufahamisha ulikwenda kutaka huduma gani, na ulijibiwa nini ingekuwa vizuri zaidi.
 
Mimi hata kama ni polisi hawawezi kunijibu hovyo nitakula nao sahani moja. Mfanyakazi anayenihudumia lazima avae id ili nijue nahudumiwa na nani, pengine umejibiwa na mwanafunzi wa field.
 
yaani imefanya nimkumbuke marehemu Magufuli
Unakumbuka Magufuli !!!

Hakukuuwia nduguyo?
Hakumteka nduguyo?
Hakubomoa nyumba yako ama ya nduguyo?
Hakumfukuza kazi nduguyo kwa husuda?
Hakumpora nduguyo fedha zake?
Hakumweka ndani nduguyo kwa uonevu?
Hakumtukana nduguyo hadharani?

Huyu mtu siyo wa kumkumbuka hata kidogo.
 
Ofisi za Umma zimeanza kurudi enzi za Kikwete aisee huduma mbovu majibu mabovu na wanajua huna pa kuwapeleka.
Dawasa Kimara kumbukeni mnafanya huduma jamani mtatuua 😂😂😂😂 yaani imefanya nimkumbuke marehemu Magufuli aisee may he continue rest in heaven sasa namwelewa japo too late
Sasa wewe umeenda Dawasa ili wakukopeshe pesa ukalipe ada ya wanao jumatatu, afu ulitegemea wakupe majibu yapo?
 
Ni wazembe tu hata wakati wa Magufuli. Jirani yangu tangu mwaka jana septemba hawajamfanyia savei na wanajua alipo. Na viashiria vyooote vya rushwa wamemwonyesha. Hana kitu maskini. Dawasa Segerea Mungu anawaona. Tutaelewana tu.
 
Ofisi za Umma zimeanza kurudi enzi za Kikwete aisee huduma mbovu majibu mabovu na wanajua huna pa kuwapeleka.
Dawasa Kimara kumbukeni mnafanya huduma jamani mtatuua 😂😂😂😂 yaani imefanya nimkumbuke marehemu Magufuli aisee may he continue rest in heaven sasa namwelewa japo too late
Umejibiwa vibaya halafu unafurahi!! Hii ni ajabu
 
Ofisi za Umma zimeanza kurudi enzi za Kikwete aisee huduma mbovu majibu mabovu na wanajua huna pa kuwapeleka.
Dawasa Kimara kumbukeni mnafanya huduma jamani mtatuua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani imefanya nimkumbuke marehemu Magufuli aisee may he continue rest in heaven sasa namwelewa japo too late
"Nikifa najua mtanikumbuka kwa mazuri tu" JPM...Nimejitoa maisha yangu kwa ajili ya watanzania maskini...
 
Mimi hawajapita kusoma mita na tarehe 26/6 nikaona mwezi unaisha hawajaja nikapigia simu waje wasome mita ili nilipe namehangaika kila siku unawaomba ndio leo wamekuja 30/6
 
Ofisi za Umma zimeanza kurudi enzi za Kikwete aisee huduma mbovu majibu mabovu na wanajua huna pa kuwapeleka.
Dawasa Kimara kumbukeni mnafanya huduma jamani mtatuua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani imefanya nimkumbuke marehemu Magufuli aisee may he continue rest in heaven sasa namwelewa japo too late
Nilikutana na majibu ya kijinga pale Benjamini Mkapa Hospital Dodoma kwa cashier wao jina limenitoka yule dada alinijibu vibaya sana tena sana nikasema hizi tabia hata mumewe anashida huko nyumbani. Yule dada ukweli nikaongea na baadhi ya watumishi pale BMH nao wakakiri uhayawani wa yule dada cashier hafai na sijui alipataje kazi. Hafai
 
Back
Top Bottom