Nimekwenda DAWASCO Kimara, majibu nimepewa hadi nimemkumbuka mwenda zake

Nimekwenda DAWASCO Kimara, majibu nimepewa hadi nimemkumbuka mwenda zake

Niliwahi kumuweka kwenye wakati mgumu mdada mmoja kwenye halmashauri moja baada ya kunipamba kichwani, mpaka mkuu wake alikuja kuomba msamaha huku mdada machozi yakimtoka.
 
Unakumbuka Magufuli !!!

Hakukuuwia nduguyo?
Hakumteka nduguyo?
Hakubomoa nyumba yako ama ya nduguyo?
Hakumfukuza kazi nduguyo kwa husuda?
Hakumpora nduguyo fedha zake?
Hakumweka ndani nduguyo kwa uonevu?
Hakumtukana nduguyo hadharani?

Huyu mtu siyo wa kumkumbuka hata kidogo.
Wee jamaa acha usenge.
Adui yako siyo lazima awe adui wa rafiki yako .
Mentally za kijinga Sana mang'aa
 
Ofisi za Umma zimeanza kurudi enzi za Kikwete aisee huduma mbovu majibu mabovu na wanajua huna pa kuwapeleka.
Dawasa Kimara kumbukeni mnafanya huduma jamani mtatuua 😂😂😂😂 yaani imefanya nimkumbuke marehemu Magufuli aisee may he continue rest in heaven sasa namwelewa japo too late
Mkumbuke wewe na familia yako
 
Siku mfanyakazi wa Umma akinijibu vibaya mjiandae kuja kunitoa mahabusu. Washenzi sana tena sana. Kuna dada mmoja alinijibu huku anakula chakula nilichompa najua hatokaa anisahau kbs maishani mwake.
Hahaha ulimfanyaje
 
Ofisi za Umma zimeanza kurudi enzi za Kikwete aisee huduma mbovu majibu mabovu na wanajua huna pa kuwapeleka.
Dawasa Kimara kumbukeni mnafanya huduma jamani mtatuua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani imefanya nimkumbuke marehemu Magufuli aisee may he continue rest in heaven sasa namwelewa japo too late
Hayo majibu uliyopewa ni yepi?,na je ni nani aliyekupa hayo majibu?,kwanini usiende kwa mkubwa wao?
 
Ofisi za Umma zimeanza kurudi enzi za Kikwete aisee huduma mbovu majibu mabovu na wanajua huna pa kuwapeleka.
Dawasa Kimara kumbukeni mnafanya huduma jamani mtatuua 😂😂😂😂 yaani imefanya nimkumbuke marehemu Magufuli aisee may he continue rest in heaven sasa namwelewa japo too late
Kama unataka kumsifia dhalimu we msifie tu kwa namna yako, lakini hakuwa anaogopwa kihivyo. Kama angekuwa anaogopwa hivyo tusingeona watu kuchimba na kujiunganishia bomba la mafuta.

Na wale aliowapora hela kwenye Bureau de change wanamsifia kwenye post ipi?
 
Ofisi za Umma zimeanza kurudi enzi za Kikwete aisee huduma mbovu majibu mabovu na wanajua huna pa kuwapeleka.
Dawasa Kimara kumbukeni mnafanya huduma jamani mtatuua 😂😂 yaani imefanya nimkumbuke marehemu Magufuli aisee may he continue rest in heaven sasa namwelewa japo too late.
Umejibiwa nini? Hebu funguka ili great thinkers tupime kama ni tusi, lugha ya kuudhi au ni wewe uliingia cha kike!
 
Ofisi za Umma zimeanza kurudi enzi za Kikwete aisee huduma mbovu majibu mabovu na wanajua huna pa kuwapeleka.
Dawasa Kimara kumbukeni mnafanya huduma jamani mtatuua 😂😂 yaani imefanya nimkumbuke marehemu Magufuli aisee may he continue rest in heaven sasa namwelewa japo too late.
Kwanini usimfate Chato?
 
Viongozi wawajibike,sio mpaka Raisi afuatilie...
 
Magufuli ndio aliharibu kabisa kwa sababu alitengeneza nidhamu ya woga ambayo ilikuwa ni suala la muda tu hali inarudi kama ilivyo,ilipaswa aimarishe mifumo na sio kuamini kwamba watu wanamuogopa,hii ilipelekea hata washauri wake wa karibu kama mawaziri kumuogopoa na kushindwa kumweleza ukweli pale ilipotakiwa

Aliaminisha watu yeye ndio kilakitu na anajua yanayotendeka kila mahali kitu ambacho si kweli na akafanya watendaji wa chini wadharauliwe na wananchi ndio maana kila alikoenda alisimamishwa na mabango juu kwa kesi za kijinga ambazo sio size yake

Ndio maana idara nyingi baada ya kifo chake zimegundulika kufanya madudu mengi lakini yalifichwa kwakuwa waliogopa kuharibu vibarua vyao,ndio maana hata hizo nidhamu unazosema wewe zilikuwa nidhamu bandia tu
 
Unakumbuka Magufuli !!!

Hakukuuwia nduguyo?
Hakumteka nduguyo?
Hakubomoa nyumba yako ama ya nduguyo?
Hakumfukuza kazi nduguyo kwa husuda?
Hakumpora nduguyo fedha zake?
Hakumweka ndani nduguyo kwa uonevu?
Hakumtukana nduguyo hadharani?

Huyu mtu siyo wa kumkumbuka hata kidogo.
Magufuli angekua kila ndugu zetu si tungekua tumeisha?

Hao waliowekwa ndani waliwekwa kwa sababu za ujinga wao. Mlitaka mtu amebaka asiwekwe ndani? Hivi bavicha mnatumia akili ama mavi kufikiri?
 
Kuna mahali wameletewa bili wakati maji hayatoki.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Hapana, kuna nyumba ni self mwanzoni ilikuwa na wapangaji na mmojawapo alikuwa ni engineer wa hii minara ya simu.

Sasa walikuwa wanachajiwa mpaka 60,000/= kwa mwezi. Sasa waliondoka mwezi wa 4 na hakuna kabisa Mtumiaji wa maji kwasababu nyumba haijapata mkaaji lakini nashangaa mwezi May wakaleta bili 35,000/= na mwezi huu wa 6 wameleta 22,000/=

Kuna dada msoma meter aliulizwa akasema system ndio inasoma hivyo baada ya kufuatwa wakasema ni tatizo la system eti wanashughulikia.

Wezi kabisa hawa Idara ya maji
 
Ofisi za Umma zimeanza kurudi enzi za Kikwete aisee huduma mbovu majibu mabovu na wanajua huna pa kuwapeleka.
Dawasa Kimara kumbukeni mnafanya huduma jamani mtatuua 😂😂 yaani imefanya nimkumbuke marehemu Magufuli aisee may he continue rest in heaven sasa namwelewa japo too late.
Magufuli alikuwa ni meneja hapo dawasa kimara
 
Back
Top Bottom