Rogojin The Idiot
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 2,969
- 3,392
Tukipata katiba mpya na watendaji wazembe tutasemaje? Kikulacho ki nguoni mwako. Mzee baba alitakiwa atumyooshe mpaka na yeyeTena zimerudi kule kwa kasi.
Tatizo ni katiba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukipata katiba mpya na watendaji wazembe tutasemaje? Kikulacho ki nguoni mwako. Mzee baba alitakiwa atumyooshe mpaka na yeyeTena zimerudi kule kwa kasi.
Tatizo ni katiba
Kipengele cha ethics za watumishi wa uma nacho mnataka kirekebishwe au nyie mnadeal na mihimili mikuu ya serikali,, kwa ajili ya uzandiki na ubinafsi wenuTena zimerudi kule kwa kasi.
Tatizo ni katiba
Mnafki mwingine huyu hapaWatumishi wa Umma wameteseka sana jamani waacheni wajinafasi.
Mimi Tanesco wamenisumbua kunivutia umeme toka enzi za mwenda zake, wanleta nao viadhiria vya rushwa. Nikaamua kuwaacha tu nikanunua solarNi wazembe tu hata wakati wa Magufuli. Jirani yangu tangu mwaka jana septemba hawajamfanyia savei na wanajua alipo. Na viashiria vyooote vya rushwa wamemwonyesha. Hana kitu maskini. Dawasa Segerea Mungu anawaona. Tutaelewana tu.
Hili la nyodo kwenye ofisi za umma awamu hii linakwenda kuwa baya hata kuliko wakati wa Kikwete. Huyu mama by nature hana haiba wala tabia ya ukali.
Wacha umbea, angekuwepo huyo shetani wako ungefanyaje?Ofisi za Umma zimeanza kurudi enzi za Kikwete aisee huduma mbovu majibu mabovu na wanajua huna pa kuwapeleka.
Dawasa Kimara kumbukeni mnafanya huduma jamani mtatuua 😂😂 yaani imefanya nimkumbuke marehemu Magufuli aisee may he continue rest in heaven sasa namwelewa japo too late.
Asante nduguMnafki mwingine huyu hapa
[emoji108][emoji108]Asante ndugu
Mfate kaburiniMtanikumbuka alisikika sandali wa JF akisema hivyo.
Hehehehe watolee povu hao hao,,ukikutana na mm nakuletea hell hutataman kuniona au kuniwaza your whole tiny worthless lifeNi safi
Wateja mna stupidity ya ku-think mnaweza ongelea mtoa huduma hovyo unavyotaka sababu ni "mteja"..
Watoa huduma ni wanadamu pia,huwezi waongelea us3ng3 wakuangalie eti sababu wewe ni "mteja mavi"...
Kafie huko
Jifunzeni kua na adabu kwenye maofisi ya watu...mteja gani unaedhani kila mhudumu ni mtumwa unaweza ongea utakacho?
"Wateja" hua ni wapumbavu sana....kwanza we dont need your little money,keep it for yourself and get the fvck outta there!
Hilo nalo neno asee,kama kamwili chako kadogodogo lazma uambulie mipashoWanaangalia na mtu wa kumjibu upuuzi.
Yuko moyoni wa Tanzania wanaojua maana ya kuwa watanzania sio kabila letu kwanza ,sio wavivu wa kutafuta mitaji hadi muibie serikali au waajirini wenu,majigambo ya bure kumbe mnataka kubebwa tuu,mpewe furasa za wizi ,hamtamtoa Magu kamwe kwenye mioyo ya watanzania ili mumreplace na yule mzee wenu gambe la konyagi Baba Freelady,mtapiga kelele kila siku za ukabila na chuki lakini uraisi msahau kwa kweli labda uraisi wa machalari mbege.Jiwe yuko mioyoni mwa push gang tu. Trust me.
Hee! Hili nalo vip? Ebu kwenda kalale huko usiekuwa na jinsia...unazani wote tulikuwa wababaishaji kama ww hadi ukatwangwaa ba jpm kunako..tuondolee ujinga hapa..jpm atakumbukwa vzaz na vizaz..Unakumbuka Magufuli !!!
Hakukuuwia nduguyo?
Hakumteka nduguyo?
Hakubomoa nyumba yako ama ya nduguyo?
Hakumfukuza kazi nduguyo kwa husuda?
Hakumpora nduguyo fedha zake?
Hakumweka ndani nduguyo kwa uonevu?
Hakumtukana nduguyo hadharani?
Huyu mtu siyo wa kumkumbuka hata kidogo.
Katiba tena.hahahah.duh..kwan enz zake katiba si ilikua ile ileTena zimerudi kule kwa kasi.
Tatizo ni katiba
Akili za kipimbavu kabisa hizi kwa hiyo hicho ndio kipimo cha uongozi bora?Unakumbuka Magufuli !!!
Hakukuuwia nduguyo?
Hakumteka nduguyo?
Hakubomoa nyumba yako ama ya nduguyo?
Hakumfukuza kazi nduguyo kwa husuda?
Hakumpora nduguyo fedha zake?
Hakumweka ndani nduguyo kwa uonevu?
Hakumtukana nduguyo hadharani?
Huyu mtu siyo wa kumkumbuka hata kidogo.
Kuandika kwenyewe mbona hujui.vip unatokea wapi ndugu usiyejua ata kiswaili au ndo wakimbizi wenyewe.alafu usisahau hii ni dunia.ya kesho huyajui.Yuko moyoni wa Tanzania wanaojua maana ya kuwa watanzania sio kabila letu kwanza ,sio wavivu wa kutafuta mitaji hadi muibie serikali au waajirini wenu,majigambo ya bure kumbe mnataka kubebwa tuu,mpewe furasa za wizi ,hamtamtoa Magu kamwe kwenye mioyo ya watanzania ili mumreplace na yule mzee wenu gambe la konyagi Baba Freelady,mtapiga kelele kila siku za ukabila na chuki lakini uraisi msahau kwa kweli labda uraisi wa machalari mbege.
Wewe mbona mjinga sana.endelea kuzeeka na ujinga wako.Nyie watu na katiba mna matatizo Sana,katiba ndo itamfundisha mtu kuwa na lugha nzuri?
Uelewa wako ni mdogo sana juu ya katiba,Mbowe na wachaga wenzie wanawaharibu Sana vijana.