Nimelala naye siku moja Tu, leo ananiambia ana Mimba!

Usihofu we nenda kamtafute muende mkafanye ultra sound ujue mimba ni muda gani. Hilo wala halitakupa shida kama ulichoandika hapa ni ukweli.
Lakini siku nyingine ukiona ukoko wa bleed tumia [emoji3549]
Itakuwa na muda huo huo wake. Unless awe alikuwa mjamzito kabla. Ila kama aliipata baada ya kusex na mtoa mada hapo itasoma mule mule hata kama alipewa na mwingine.
 
Mtoa mada kwani condoms zinakubana?,usichukulie vibaya swali langu ila ukinijibu in a honest way nita appreciate
In a honest way!! Mkuu Condom hazinibani, sema wajua Mihemko sometimes siyo mizuri.

However tulipitia Njia zote za Kupima tulitumia Sd bioline kwa Mara ya Kwanza , na Mara ya pili Tulitumia Sd bioline na Uni-Gold (hizi alishauri yeye kwa maana alikuwa hana imani na Mimi, as alikuwa anasema Men from Tz hatuko honesty.... sijui kama ni kweli.

Baada ya Kuona Tuko Okay, ndipo Tuliamua kuachana na Habari za Condom.

Japo Toka Tumekutana kimwili hiyo mara moj, Alirudi nchini kwao, then ndo jana ananicheki WhatsApp na kunambia Hizo habari.
 
Thanks mkuu,ninakuaminia na it's not all lost, tuna JF members who are honest kama wewe mkuu
 
Me naombeni mnisaidie nilishindwa kuelewa kabisa, inawezekana vipi msichana kupata mimba harafu wiki ikapita akatokwa na damu ya hedhi(yaani akaingia bleed) me pia nahisi nilipigwa na kitu kizito kichwani , nilihudumia but mimba ilipofikisha miezi 7 ikaharibika,
Ukweli mpaka sasa huwa sielewi, nilijaribu kuuliza humu Jfm, sikupata jib linaloeleweka
 
Hio ni kawaida sana miezi/wiki za mwanzo mwanamke anaweza kubleed ila sio Kwa kiwango sawa na siku zingine
 
Kujibu swali lako kwa kifupi tu, Inawezekana hasa kwa mwanamke mwenye mzunguko mfupi!
 
Yaani unavyoongelea hiyo ya kumwaga nje tafikiria rahisi vile....wanawake bwana🀣🀣🀣🀣
 
Kama ukutumia kwa msaada wa watu wa marekani ( mpira) yako hio
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Ngumu Kama kujifungua?😎😏
Ah wapi...kukojoa nje ni noma. Yaani nimepump nusu saa nzima alafu wadhungu wanataka kutoka ndio nichomoe...huku mchcuchu mwenyewe anakupiga kabali la maana akijua utamu wa wale wadhungu wakigusa kuta za uke.
 
Ah wapi...kukojoa nje ni noma. Yaani nimepump nusu saa nzima alafu wadhungu wanataka kutoka ndio nichomoe...huku mchcuchu mwenyewe anakupiga kabali la maana akijua utamu wa wale wadhungu wakigusa kuta za uke.
Kama huwezi, kwani ndom zimewekwa kwa ajili gani?.
 
Kama huwezi, kwani ndom zimewekwa kwa ajili gani?.
Wapinzani wakubwa wa condom kwanza ni nyie wenyewe warembo mara inanichubua.

Alafu kweli joana na urembo wote huo ulionao ukizingatia nimelipa hotel kupa nauli na hela ya kununua chupi mpya...gharama yote hiyo iende kwenye nylon jamani. Not to mention kuwa nakupunguzia wewe utamu wa de libolo kwa 30% kwa kumwagia nje
 
Unafanya mapenzi bila condom unategemea nini mkali?

Mungu aturehemu watu weusi😁
 
Umepeperusha bendera yetu kimataifa. Umetuwakilisha vyema mkuu.

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…