Nimelala naye siku moja Tu, leo ananiambia ana Mimba!

Nimelala naye siku moja Tu, leo ananiambia ana Mimba!

😀
Kuna dem mmoja, nilikutana naye katika mission zangu, baada ya Kukubariana aliniambia atanipa Tunda, ila akishamaliza period. 🩸
Sasa siku moja baada ya Kumaliza period tulikutana akanipa Tunda. Tena nakumbuka palikuwa na vi ukoko ukoko vya Bleed kwa mbali.
😀😀😀nyuzi zingine bwana wacha JF idumu. Raha tupu.

Ukoko ukoko umekuponza
 
Usihofu we nenda kamtafute muende mkafanye ultra sound ujue mimba ni muda gani. Hilo wala halitakupa shida kama ulichoandika hapa ni ukweli.
Lakini siku nyingine ukiona ukoko wa bleed tumia ⛑️
😀😀😀
 
You are making good use of your I'd. You meet someone for the first time and have unprotected sex and then have the courage to come and ask for advice. Pambana na hali yako.
Wakati wa Genye hakushirikisha hata rafiki yake.
 
Back
Top Bottom