Nimelala naye siku moja Tu, leo ananiambia ana Mimba!

Habari wakuu, kiukweli kuna Jambo linanishangaza. Hivi ni kweli inawezekana??[emoji856]

Kuna dem mmoja, nilikutana naye katika mission zangu, baada ya Kukubariana aliniambia atanipa Tunda, ila akishamaliza period. 🩸
Sasa siku moja baada ya Kumaliza period tulikutana akanipa Tunda. Tena nakumbuka palikuwa na vi ukoko ukoko vya Bleed kwa mbali.

Lakini leo baada ya Mwezi kupita ananipigia simu ananmbia eti ana Ujauzito!![emoji1768] na ananihakikishia hajakunata na Mwanaume Mwengine toka siku ile.

Hivi hii inawezekana kweli? Au anataka kunipiga changa la macho?
Na ukizingatia Dem mwenyewe siyo mtanzania alikuja Tu kwa Issue zake za kibiashara. Au kuna kitu anajaribu kunitega?

Msaada Please.

Umepigwa
 
Kama nisiku moja baada ya kupata period ni ngumu. Apo umepigwa
 
Kakupima.kakuona wewe zoba

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Siku moja baada ya period hupati mimba

Kumbuka vizuri,hujakutana nae tena?manake wanaume ndio viumbe mnaojua kukataa hata kama mmefanya
Inawezekana kupata ujauzito sema ni mara chache kutokea, Sperm zinakaa hadi 72 hrs, ikitokea mwanamke akaachia yai imeisha hiyo.
 
Kwa maelezo hayo si kweli kuwa mimba ni yako
Huyo manzi anapenda uraia wa Tz ?
 
Tatizo ambalo lipo kpnz changu ni hv,wewe sijui Una nyota ya chips! Maana tunaokupenda tupo wengi sasa hzo siku zenyewe daah,tusije logana bure 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 Hakuna upendo wa kweli humu ni kufurahishana tu.Relax
 
Habari wakuu, kiukweli kuna Jambo linanishangaza. Hivi ni kweli inawezekana??[emoji856]

Kuna dem mmoja, nilikutana naye katika mission zangu, baada ya Kukubariana aliniambia atanipa Tunda, ila akishamaliza period. 🩸
Sasa siku moja baada ya Kumaliza period tulikutana akanipa Tunda. Tena nakumbuka palikuwa na vi ukoko ukoko vya Bleed kwa mbali.

Lakini leo baada ya Mwezi kupita ananipigia simu ananmbia eti ana Ujauzito!![emoji1768] na ananihakikishia hajakunata na Mwanaume Mwengine toka siku ile.

Hivi hii inawezekana kweli? Au anataka kunipiga changa la macho?
Na ukizingatia Dem mwenyewe siyo mtanzania alikuja Tu kwa Issue zake za kibiashara. Au kuna kitu anajaribu kunitega?

Msaada Please.
Kwahiyo mwanangu ulipita iviii
👇👇👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220713-092457_Twitter.jpg
    Screenshot_20220713-092457_Twitter.jpg
    35.2 KB · Views: 8
Habari wakuu, kiukweli kuna Jambo linanishangaza. Hivi ni kweli inawezekana??[emoji856]

Kuna dem mmoja, nilikutana naye katika mission zangu, baada ya Kukubariana aliniambia atanipa Tunda, ila akishamaliza period. 🩸
Sasa siku moja baada ya Kumaliza period tulikutana akanipa Tunda. Tena nakumbuka palikuwa na vi ukoko ukoko vya Bleed kwa mbali.

Lakini leo baada ya Mwezi kupita ananipigia simu ananmbia eti ana Ujauzito!![emoji1768] na ananihakikishia hajakunata na Mwanaume Mwengine toka siku ile.

Hivi hii inawezekana kweli? Au anataka kunipiga changa la macho?
Na ukizingatia Dem mwenyewe siyo mtanzania alikuja Tu kwa Issue zake za kibiashara. Au kuna kitu anajaribu kunitega?

Msaada Please.
....
Screenshot_20220730-232706.jpg
 
In a honest way!! Mkuu Condom hazinibani, sema wajua Mihemko sometimes siyo mizuri.

However tulipitia Njia zote za Kupima tulitumia Sd bioline kwa Mara ya Kwanza , na Mara ya pili Tulitumia Sd bioline na Uni-Gold (hizi alishauri yeye kwa maana alikuwa hana imani na Mimi, as alikuwa anasema Men from Tz hatuko honesty.... sijui kama ni kweli.

Baada ya Kuona Tuko Okay, ndipo Tuliamua kuachana na Habari za Condom.

Japo Toka Tumekutana kimwili hiyo mara moj, Alirudi nchini kwao, then ndo jana ananicheki WhatsApp na kunambia Hizo habari.
Ni mtu wa nchi gani? Maana kuna nchi naijua ni vinara wa kubambikia mimba [emoji848]
 
Back
Top Bottom