The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Mkuu kwa comment hii umeitendea haki kabisa ID yako.Tuangalie namna ya kuilinda hii nchi dhidi ya wale wainyemeleao. Laiti mngejua vita iliyopo dhidi ya hii nchi mngemwombea sana Rais wetu maana dhamira yake ni halisi ila mabeberu wamekasirika sana. Kwa namna ambavyo mioyo yenu imejaa chuki kwa sasa hamuwezi kuelewa haya mambo. Ila tujifunze zaidi kwa wenzetu waliotuzunguka, anzeni hapo Libya muone uhalisia.
umepoteza pesa zako na muda wako...hio hela ungeisaidia familia yako masikini au ungeenda kutoa sadaka
Chagua Lissu..Chagua uhuru, haki na maendeleo
Kumbe njozi bado haijesha. Taratibu utapata uelewa tu hata kwa makaburu SA iliwachukua muda.
MTU mwenye biashara za mamilioni unaungaunga?.Nimeungaunga
MTU mwenye biashara za mamilioni unaungaunga?.
mim pia imeniuma nasaafiri kwenda kuweka #mitano5 tena
Kachukue book 7 zako ukalale huko, Usitudanganye eti umeacha biashara za mamilioni wakati ni mchumia tumbo! Subirini na kaeni mtulie dawa iwaingie!
Ati wanagombea kututawala lakini hawataki tuamue nani atutawale!Mimi ninachoiombea Tanzania yangu ni Amani... hayo mengine wanasiasa mmalizane wenyewe.... msituletee shida ndani ya Tanzania yetu
Usijipendekeze kwangu wewe Una dola.Mama kubwa tuungane kufukuka mabwanyenye
Mkuu uzalendo gani huo wa kufagilia uvunjaji wa haki? Ingekuwa ni kwako ungejiskiaje?Kamanda acha jazba kuwa mzalendo
si ndio hapo sasa... basi wakae tu waongee wamalizane... ila sisi waTanzania watuache na amani yetuAti wanagombea kututawala lakini hawataki tuamue nani atutawale!
Vv
Usijipendekeze kwangu wewe Una dola.
Mkuu uzalendo gani huo wa kufagilia uvunjaji wa haki? Ingekuwa ni kwako ungejiskiaje?
Hizo km 8500 si za humu nchini, umetoka ughaibuni na Lissu wewe sishangai kumpigia kura, ila umepoteza muda tuu.We umetoka 1000 sisi tulio toka 8,500km
Kumpigia Lissu kura we zinde kwwel
Tumuombe wakati yeye ndio anatubagua kwa itikadi zetu?Tuangalie namna ya kuilinda hii nchi dhidi ya wale wainyemeleao. Laiti mngejua vita iliyopo dhidi ya hii nchi mngemwombea sana Rais wetu maana dhamira yake ni halisi ila mabeberu wamekasirika sana. Kwa namna ambavyo mioyo yenu imejaa chuki kwa sasa hamuwezi kuelewa haya mambo. Ila tujifunze zaidi kwa wenzetu waliotuzunguka, anzeni hapo Libya muone uhalisia.
Amepandikizaje chuki?Tumuombe wakati yeye ndio anatubagua kwa itikadi zetu?
Kapandikiza sana chuki baina yetu mimi nilimpigia kura 2015 lakin kesho asahau kura yangu.
Unasoma darasa la ngap?Amepandikizaje chuki?