Uchaguzi 2020 Nimelazimika kusafiri takriban kilometa 1000 kumzuia Robert Amsterdam na CHADEMA

Maumivu yanakuja, jiandae kisaikolojia!
IMG_20201028_095155.jpg

Mauvi ya kuibiwa au ya haki?
 
Ndugu zangu,

Imenilazimu kusafiri kilometa takribani 1000 ili kumuonesha Robert Amsterdam kuwa hawezi kutupangia nani awe Rais wa Tanzania.

Ushindi upo ila tunataka uwe wa kishindo ili akome, apate fundisho yeye na mawakala wake.

Nimeahirisha kufanya biashara ya mamilioni ili kuilinda nchi yangu dhidi ya mabwanyenye.

Umuhimu wa kusafiri kupiga kura ya kizalendo ni kuepuka aibu kwa vizazi vijavyo watanilaumu wakisema "Babu na wenzio mlikuwa wapi hadi mkaruhusu Robert akapandikiza kiongozi?" hapana, sikubali lawama hii kamwe ndio maana nimesafiri kilometa zaidi ya 1000 kuwakomesha wanyonyaji hawa. Kamwe hatutaruhusu yale yaliyotokea mwaka 1884/5 kwenye mkutano wa Berlin yajirudie.

Tanzania ni nchi huru, tutachagua viongozi wetu wenyewe bila kupangiwa. Tanzania kwanza!
!
!
Biashara Ya Mamilioni Wapi Wewe Mmachinga Mwenye Kitambulisho Cha Sisiem Matako Wewe? Hebu Tupishe Bwana
 
Mleta mada kwani wewe nani?

Unawezaje kumzuia huyu mzungu kuchukua hatua za kisheria?

Unaweza kuwalipa wanasheria mahiri kama yeye kumpinga?

Kama unaweza hayo hapo juu wewe ni kidume, lakini kama unaleta blah-blah kafie jalalani!
Hatuhitaji wanasheria.
Kisanduku cha kupigia kura na vikaratasi vyake vinatosha sana
 
Ndugu zangu,

Imenilazimu kusafiri kilometa takribani 1000 ili kumuonesha Robert Amsterdam kuwa hawezi kutupangia nani awe Rais wa Tanzania.

Ushindi upo ila tunataka uwe wa kishindo ili akome, apate fundisho yeye na mawakala wake.

Nimeahirisha kufanya biashara ya mamilioni ili kuilinda nchi yangu dhidi ya mabwanyenye.

Umuhimu wa kusafiri kupiga kura ya kizalendo ni kuepuka aibu kwa vizazi vijavyo watanilaumu wakisema "Babu na wenzio mlikuwa wapi hadi mkaruhusu Robert akapandikiza kiongozi?" hapana, sikubali lawama hii kamwe ndio maana nimesafiri kilometa zaidi ya 1000 kuwakomesha wanyonyaji hawa. Kamwe hatutaruhusu yale yaliyotokea mwaka 1884/5 kwenye mkutano wa Berlin yajirudie.

Tanzania ni nchi huru, tutachagua viongozi wetu wenyewe bila kupangiwa. Tanzania kwanza!
Hongera Sana

JamiiForums949679345.jpg
 
Kwa bahati mbaya kura yako haiamui. If u know whar amiin
 
Hatuwezi kuongozwa na mtu mwenye risasi kwenye kalio
 
Tanzania soon we are going to celebrate landmark referendum victory after voters threw out the constitution left by ccm 1977 regime of dictator Nyerere
Now u see ......what the https://jamii.app/JFUserGuide u doing........shame on u idiot
 
Yuel mpuuzi,Mimi huwa nampasua huko kwenye Tweeter aache kuifuata Tanzania sisi in nchi huru

Back
Top Bottom