Nimeleft group la WhatsApp la Familia ya mke wangu

Nimeleft group la WhatsApp la Familia ya mke wangu

Naaomba kuuliza wadau katika kutafakari sababu za familia ya mkewangu kuniunganisha katika group la familia yao sikuona mantiki na hivi leo nimeaamua kuondoka. Je nitakua nimekosea ?
Wakwe umewamwagia ushuzi ukaleft [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jiandae kisaikoloooojiaaaa Leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



Man Down
 
Hata mimi huwa sipendi, issue za ndani za ukoo wa kikeni hazikuhusu sasa umo unafanya nn!? Pili mle kuna mama wakubwa na wadogo wa mke wako, kuna baba wakubwa na wadogo wa mke wako ambao kiujumla ni wakwe zako, je siku simu imejibonyeza mfukoni ikachukua clip ya amber ruuuuutiiiii ikapost kwenye hilo group baada ya kuja kujua utaweka wapi uso wako dhidi ya ukoo mzima wa ukweni.


Nashauri hata wengine kama mko magroup ya kwao mwanamke ni upimbi na ukosefu wa adabu mleft
 
Hata mimi huwa sipendi, issue za ndani za ukoo wa kikeni hazikuhusu sasa umo unafanya nn!? Pili mle kuna mama wakubwa na wadogo wa mke wako, kuna baba wakubwa na wadogo wa mke wako ambao kiujunla ni wakwe zako, je siku simu imejibonyeza mfukoni ikachukua clip ya amber ruuuuutiiiii ikapost kwenye hilo group baada ya kuja kujua utaweka wapi uso wako dhidi ya ukoo mzima wa ukweni.


Nashauri hata wengine kama mko magroup ya kwao mwanamke ni upimbi na ukosefu wa adabu mleft
Ahsante! Angalau umeongea point mkuu
 
😅 huo ndo ubabe wenu wa kiume....

It wasn’t me na uso wa mbuzi.....

Imeisha hiyooo....

Wanaume, zamani nilikuwa napata tabu siku hizi waalaaah...
Ndo maana mambo yako yanateleza tu!😂
 
Naaomba kuuliza wadau katika kutafakari sababu za familia ya mkewangu kuniunganisha katika group la familia yao sikuona mantiki na hivi leo nimeaamua kuondoka. Je nitakua nimekosea ?
Uko sahihi kabisa, me nilimpiga marufuku wife maana na wao walitaka kuanza kuleta hizo issue hata kwenye vikao vyao vya ukoo wakaanza kunialika nikawa siendi naona wakajiongeza. Infact hutakiwa kujenga sana mazoea na ukweni, mwisho wa siku matatizo yao yote utaishia kuyabeba.
 
Mimi hata group la familia yetu tu huwa sikai maana usnitch huwa sitaki. Mimi group langu ni moja tu la Liverpool FC mambo ya soka tu.

Wakiniweka group sijui la shule najitoa sijui la familia najitoa sitakagi uduanzi mimi. Sasa sembuse la ukweni.
 
Back
Top Bottom