Nimeleft group la WhatsApp la Familia ya mke wangu

Nimeleft group la WhatsApp la Familia ya mke wangu

Aiseee , mimi pia kila group ambalo waliniadi niliiishia kuleft tu maana huwa sichangii chochote wala kufuatilia nini wanajadili .
Mbaka sasa group ambalo nipo ni group la draft nyanda za juu kusini huku kidogo naenjoy , coz i'm the one of the best checker player Tz hii. hivyo huku kidogo ndyo huwa nashinda shida .
 
Mimi hata group la familia yetu tu huwa sikai maana usnitch huwa sitaki. Mimi group langu ni moja tu la Liverpool FC mambo ya soka tu.

Wakiniweka group sijui la shule najitoa sijui la familia najitoa sitakagi uduanzi mimi. Sasa sembuse la ukweni.
Nimesgaleft sana magroup kuna usnitch na u match know full kutambiana
 
Hata mimi huwa sipendi, issue za ndani za ukoo wa kikeni hazikuhusu sasa umo unafanya nn!? Pili mle kuna mama wakubwa na wadogo wa mke wako, kuna baba wakubwa na wadogo wa mke wako ambao kiujunla ni wakwe zako, je siku simu imejibonyeza mfukoni ikachukua clip ya amber ruuuuutiiiii ikapost kwenye hilo group baada ya kuja kujua utaweka wapi uso wako dhidi ya ukoo mzima wa ukweni.


Nashauri hata wengine kama mko magroup ya kwao mwanamke ni upimbi na ukosefu wa adabu mleft
Hiyo simu ya mpk kuselekt video ya amber itakuwa imetoka kwenye galaxy nyingine
 
Naaomba kuuliza wadau katika kutafakari sababu za familia ya mke wangu kuniunganisha katika group la familia yao sikuona mantiki na hivi leo nimeaamua kuondoka.

Je, nitakuwa nimekosea ?

Hupaswi kujiunga Kwenye Hilo group hata Kama umeolewa
 
Safi sana kijana kwa maamuzi ya kulinda tafakuri yako

Huyo mkeo mpe onyo kali kwa kitendo chake cha kuunganisha mwenye group lao bila kukushirikisha
 
Upo sawa, kuzoeana zoeana sana na wakwe wanakuona pimbi.... keep distance muheshimiane.
Na ukweli leo muda mfupi baada ya kuleft amenipigia mamamkwe ananiuliza mwanangu vipi una shida yeyote? Amenidadisi as if kunaa tatizo kitu ambacho hajawahi hata siku moja kuongea na mimi politely as the way she did . Nashukuru naona mwanga mbele wa kuwekeana mipaka na heshma. Sihusiki directly na affairs za familia ya mkewangu huu ndio ukweli.
 
Back
Top Bottom