Nimeleft group la WhatsApp la Familia ya mke wangu

Nimeleft group la WhatsApp la Familia ya mke wangu

Nchi hii ina vijana wa hovyo na wahuni sijapata ona..
Alie kuunganisha ilibidi uongee nae hajue na akuleftishe,
 
😅 huo ndo ubabe wenu wa kiume....

It wasn’t me na uso wa mbuzi.....

Imeisha hiyooo....

Wanaume, zamani nilikuwa napata tabu siku hizi waalaaah...
Unanidhalilisha ujue....
 
Naaomba kuuliza wadau katika kutafakari sababu za familia ya mke wangu kuniunganisha katika group la familia yao sikuona mantiki na hivi leo nimeaamua kuondoka.

Je, nitakuwa nimekosea ?
Ukinyimwa papuchilo usiku usiulize mchawi
 
Mimi hata group la familia yetu tu huwa sikai maana usnitch huwa sitaki. Mimi group langu ni moja tu la Liverpool FC mambo ya soka tu.

Wakiniweka group sijui la shule najitoa sijui la familia najitoa sitakagi uduanzi mimi. Sasa sembuse la ukweni.
Najiulizaga unashawishika na nin mpaka kushabikia kibonde liva
 
Naaomba kuuliza wadau katika kutafakari sababu za familia ya mke wangu kuniunganisha katika group la familia yao sikuona mantiki na hivi leo nimeaamua kuondoka.

Je, nitakuwa nimekosea ?
Mmekuwa mwili mmoja nawe sasa ni sehemu ya familia ku LEFT ni utovu wa nidhamu nakujitenga
 
Back
Top Bottom