Mzee alie staafu kanunua hio gari kaona inamla hela kuliko kinacho ingiza. Akaona bora ife gari kuliko yeye🤣🤣
Halafu gari kufikia kuwa skeletons hutokana na mahitaji ya spare kwa mwenye gari zima. Hata ukiiwacha gari yako nzima kwa fundi kwa muda mrefu nayo itakuja kutolewa spare kidogo dogo mpaka itafikia skeleton pia.