Iko hivi
Kuna video moja ipo katika mtandao ambayo inazungumzia mtu mmoja aliekuwa na madaraka katika nchi 1 iliopo Mbali dunia inayoitwa - JAMAINA
Kiongozi huyo alikuwa nafasi ya uwaziri ya kusimamia watu kazi ambao waliopo kwenye adhabu
Siku 1 vijana walipewa kazi ya kulima shambani kama ni adhabu kwao, ilikuwa ni siku ya Ijumaa.
ilipofika saa 6 mchana wale vijana waliomba kwend msikitini kuabudu.
Yule waziri akawaambia leo hamna kuabudu dhambi zenu nitazibeba mimi , itabidi wale vijana waendelee kulima huku wakiwa na uchungu
Siku ya siku moja yule waziri akafanya kosa kumkosea bosi (Rais) wake akajikuta jela wakakutana na wale vijana waliokuwa aliowazuia kwenda kuabudu lakini waziri hakuwajua
Siku 1 wakati waziri kapewa kazi ngumu na muda ushaisha hajamaliza akawa anasema " adhabu gani hii"
Wale jamaa wakamwambia unakumbuka siku1 ulituzuia tuesende msikitini dhambi zetu utazibeba weye? unakumbuka mtaa wa Janana?
Yule waziri aliweka jembe akalia sana tena sana, alijutia mateso alikuwa anawapa wenziwe na maneno ya dharau kwa wenziwe akawaomba msamaha sana wale vijana kwa aliowambia.
hii story ni true story sio ya kutunga, waziri alikuwa muislam na vijana ni waislam
Nimejifunza kwamba dunia hutakiwi ujione ni yako. Kuna siku ukimiiuza mwenzio na wewe utaumia.
Binaadam ni dynamic, leo chama X kesho utaangua CHAMA Y , Keshokutwa Z au P.
Leo unakazi na cheo, kesho huna kitu unakuwa omba omba unaanza kuyakuta uliyotenda