Afadhaliii hii kuliko Addis ile khaaaWakuu,
Hivi inakuwaje kila mara hawa viongozi wa serikali wakitaka kuchonga sanamu la baba wa taifa huwa wanakosea?
Kuna hili sanamu jipya la Mwalimu Nyerere huko nchini Cuba kiukweli imenishangaza sana kuona Waziri Ndumbaro amelipitisha na kuona kuwa linafaa.
Soma pia: Sanamu ya Abraham Lincoln Washington DC na Sanamu ya Julius Nyerere Dodoma
Au huwa kuna hela zinabanwa then tenda ya kuchonga ya sanamu wanapewa wasanii uchwara?
Hili sanamu halina tofauti sana na lile la Kigwangala. Ndumbaro jitafakari!
Bora ya hiliAfadhaliii hii kuliko Addis ile khaaa
Mbona sio Nyerere ni Sokoine?Wakuu,
Hivi inakuwaje kila mara hawa viongozi wa serikali wakitaka kuchonga sanamu la baba wa taifa huwa wanakosea?
Kuna hili sanamu jipya la Mwalimu Nyerere huko nchini Cuba kiukweli imenishangaza sana kuona Waziri Ndumbaro amelipitisha na kuona kuwa linafaa.
Soma pia: Sanamu ya Abraham Lincoln Washington DC na Sanamu ya Julius Nyerere Dodoma
Au huwa kuna hela zinabanwa then tenda ya kuchonga ya sanamu wanapewa wasanii uchwara?
Hili sanamu halina tofauti sana na lile la Kigwangala. Ndumbaro jitafakari!
Tunaongozwa na majangili tupuSanamu limejichokea na life la stanza
InasikitishaWakuu,
Hivi inakuwaje kila mara hawa viongozi wa serikali wakitaka kuchonga sanamu la baba wa taifa huwa wanakosea?
Kuna hili sanamu jipya la Mwalimu Nyerere huko nchini Cuba kiukweli imenishangaza sana kuona Waziri Ndumbaro amelipitisha na kuona kuwa linafaa.
Soma pia: Sanamu ya Abraham Lincoln Washington DC na Sanamu ya Julius Nyerere Dodoma
Au huwa kuna hela zinabanwa then tenda ya kuchonga ya sanamu wanapewa wasanii uchwara?
Hili sanamu halina tofauti sana na lile la Kigwangala. Ndumbaro jitafakari!
Wanazidi kumharibu Mwl. NyerereWakuu,

Watanzania mmezidi malalamiko.
Sanamu ipo sawa tu kwa mtu anayemjua nyerere ata akikurupushwa usiku akionesha hiyo sanamu atamtambua kuwa huyo ni nyerere.
Tupunguze stress aisee.