Nimelia sana baada ya kuona sanamu jipya la Mwalimu Nyerere nchini Cuba. Waziri Ndumbaro naomba ujitafakari!

sasa hiki na hili la Cuba lipi n professional
 

Attachments

  • 29F39025-96FD-46F4-96E9-F12C096AD3A9.jpeg
    299 KB · Views: 2
hapa wamepatia vizuri sana,Binafsi nilibahatika kumuona mwalimu Nyerere live,miaka yake ya mwisho na hii sanamu wanafanana sana.sema tu hayuko kwenye happy mood..
 
Kuna watu mna machozi ya Bure🤔

Yaani unalilia sanamu ilhali Nyerere mwenyewe alipokuwa hai baba zenu walimsema kwamba hafai?
 
Mtoto wa Nyerere atafutwe athibitishe tuu kuwa huyu ni baba yake na itakuwa imekwisha ila binafsi aibu kama hii sikutaraji itokee Cuba kwenye ardhi ya mwalimu
 
Naenda mahakamani kishtaki. Haiwezekani watu wachonge sanamu inayofanana na mimi bila kuniomba wala kunipa taarifa.

Heshima ichukue mkondo wake.
 
Nimeambiwa Cuba Kuna uchafuzi wa hali ya hewa na viwanja vya ndege vimefu hao mawaziri waliopo huko hawaathiliwi na hali ya hewa na je wametumia nyungo na vipembe kupaaa?
 
Hii mbona imetulia mkuu, uliiona Ile ya Ethiopia, wamwache huyu Mzee wanamdhalilisha sana.
 
Nilishaweka uzi humu kuwa Tanzania hakuna wasanii wa kuchonga,hizo tenda waoeleke italy waone,japo ni gharama ila kaxi itaonekana
 
W
We nae vp sijui!
Yaani serious wataka kulia kisa lisanamu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…