Nimelia sana baada ya kuona sanamu jipya la Mwalimu Nyerere nchini Cuba. Waziri Ndumbaro naomba ujitafakari!

Na watanzania nadhani hii umewekwa na Cuba kwenye bustani ya wapigania uhuru wa Africa. Punguzeni mchecheto
 
Umekosa vya kulilia aisee
 
Acha unafki Sasa unalia Nini yako umemaliza? Shobo?
 
Sanamu utafikiri vile vizee vibishi kutoa nauli ya daladala
 
Cuba hawawezi kuchonga bure tu, hela imetolewa na serikali ya bongo
 
Picha kama jumanne muliro muliro
 
Pumzika Mtikila,
Hao angewapeleka mahakamani.
 
Huyu ni yeyw sema tu amenuna na rangi wamempa siyo yake, amekuwa black zaidiπŸ˜€
 
Sasa sanamu tu nalo mpaka unalia sana? Wakati mwingine inaweza kuwa ni stress ndizo zinasumbua wala siyo sanamu!
 
Mimi nahisi Nyerere original ameanza kusahaulika tena kwa speed ya ajabu. Kama kuna sanamu ambayo haikupaswa kukosewa basi ni Hayati JK. Nyerere. Tunazo picha zake katika ofisi zote za serikali, lkn eti tunaikosea.

TUJITAFAKARI
 
Watu wanafanya makusudi ili wapewe kazi tena ya kurudia
 
Umelia ukiwa Cuba, Havana?.. maana Cuba hatuliagi...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
sasa hiki na hili la Cuba lipi n professional
Umelia ukiwa Cuba, Havana?.. maana Cuba hatuliagi...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hapo Mwl ni kama alikuwa na hasira akitoa mfano kuhusu yule waziri malaya malaya aliyejiuzulu kule Uingereza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…