Nimelia sana na bado ninalia sana kwa kifo cha Esther Mahawe. Huyu Mama ameniuma sanaa

Hiki kifo ni kifo tu Kwa sababu chake ni Cha kawaida.vifo vinavyoumiza zaidi ni vile vya kutekwa.
 
Hukujua kama anaumwa?
Ulikwenda kumuona hospitali?
Ulituma hata pesa ya pole?
Tunakusubiri tukuone kwenye mazishi yake
 
Kifo ni njia.
 
M
wewe unatabia za kikekike mwanaume unalia na kulalamika,wewe kweli ni lucy
 
Kwaninavyo wachukia CCM kwa kusababisha mauaji ya wengine hata ukifa wewe kwa wapenda haki ni sherehe duniani na mbinguni.
 
Boyaaa tu wewe wenzako wanasebenza nafasi wazi wewe unaleta comedy msibani.....RiP Dada Esther....
 
Wewe tulishakuzoea headless chicken, unalizagwa na mambo mengi tu ya kipumbavu!
 
Nimemsikia leo kwakweli, lakini RIP Mama yetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…