Nimelia sana na bado ninalia sana kwa kifo cha Esther Mahawe. Huyu Mama ameniuma sanaa

Majizi ya kura yanazidi kupungua.
 
Yaani we jamaa hili jambo la msiba lakini unatufanya tucheke ili tuonekane wabaya sababu ya uandishi wako.

Pumzika kwa Amani Dada Ester
😂😂😂😂😂😂 Lucas bwana daaah. Wewe umechekeshwa na Lucas ila mimi umenichekesha
 
 

Attachments

  • Copy of Think before you talk. 80%25 of how people value you is what comes ou_20250114_170418_...png
    990.6 KB · Views: 2
Kifo ni cha wote, waheshimiwa na wadharauliwa, matajiri na mafukara, wasomi na wajinga, wastaarabu na washenzi wote tutakufa, Chadema na wana ccm wote njia yetu moja tu. Tungemuogopa Mungu wote kwa pamoja, viongozi wa dini wasitufariji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…