Nimelia sana na bado ninalia sana kwa kifo cha Esther Mahawe. Huyu Mama ameniuma sanaa

R.I.P
 
Acha vichekesho msibani, ndugu zake watatuelewaje tukianza kucheka, maana si watani zetu
Poleni kwa msiba mzito wa kitaifa
 
Nenda kwenye kaburi lake kalirukie kama Father Bernad
 
Vipi kuhusu vifo vya akina Soka na Wenzake hujalia sana? Na kwanini ulie sana Kwa huyu?
 
Kumbe na ccm mnakufaga? Nilijua ni kina sisi Soka azory mawazo sanane kanguye nk
 
Kijana Luka amebubujikwa sana na machozi, Sasa nawaomba wahusika pale Lumumba wamtumie afu7 yake akajipoze na njaa. Uchawa ni kazi ngumu sana unameza script kama uko Hollywood.
 
Wewe unaliaga kila kitu.Hata ukiona mbalagha na maparachichi unalia tu.
NB;Apumzike kwa amani DC wetu kipenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…