Nimelia sana na bado ninalia sana kwa kifo cha Esther Mahawe. Huyu Mama ameniuma sanaa

Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika nimeumia sana, nimehuzunika sana,nimesikitika sana,nimelia sana na bado moyo wangu unabubujikwa na machozi ya huzuni na uchungu mkubwa sana kwa Kifo cha Mkuu wangu wa wilaya ya Mbozi Mheshimiwa Esther Mahawe ambaye ametangulia mbele za haki.

Soma TANZIA - Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe, Esther Mahawe afariki Dunia

Huyu Mama aliipenda sana Mbozi,aliwapenda sana wana mbozi ,aliipenda kazi yake ,aliijali kazi yake,aliithamini kazi yake, alijua majukumu yake, alitimiza vyema majukumu yake, aligusa Maisha ya wengi, alichangamana na wengi, alizungumza na wengi, alikuwa kipenzi cha wana mbozi.

Alikuwa kimbilio la vijana, alikuwa mwana michezo, alikuwa faraja kwa wanamichezo, alipendwa na wengi, hakuwa na Makuu Mama wa watu, alifikika wakati wote, alishirikiana vyema na wana mbozi, alikuwa msikivu, alikuwa muungwana ,hakuwa na kiburi, hakuwa na dharau, hakuwa na majivuno, cheo kwake kilikuwa ni dhamana, cheo kwake ilikuwa ni utumishi kwa watu.

Mbona imekuwa mapema hivi kwa huyu mama? Mbona naandika huku nikiisikia sauti yake ikinijia kwa sababu nilikuwa nikimsikiliza mara nyingi kwenye mikutano yake na sisi wananchi wa Mbozi. Sasa Esther Mahawe Kalala Usingizi wa Milele? 😭😭😭. Si angetupa nafasi ya kutupatia neno la Mwisho wana mbozi?

Si angetuambia tukamuone hospitalini na atupatie mkono wa kwaheri? Si angetuita wana Mbozi hospitalini alipolazwa ili tuzungumze naye? Kwanini ametuachia majonzi kiasi hiki wana Mbozi? Nani wa kutufuta machozi wana Mbozi? Kwamba Mheshimiwa Esther Mahawe hatutamuona tena?

Inaumiza sana tena sana,nalia mimi, nalia sana, nalia kwa sababu ya mkuu wangu wa wilaya,nalia kwa sababu ya huyu mama aliyekuwa na moyo wa upendo, ukarimu, unyenyekevu, utu, uungwana na moyo wa kujitoa na kujitolea kwa watu. Amesaidia wengi na amegusa maisha ya wengi. Ameacha alama kwa wana Mbozi.

Esther Mahawe Mkuu wetu wa wilaya ya Mbozi Pumzika kwa Amani Mama. Lala salama Mama, Mwanga wa Milele ukuangazie Mama yetu.

Umepigana Vita iliyo njema, Mwendo Umeumaliza na Imani Umeilinda.

Tangulia Mama yetu. Duniani sote ni wapitaji tu. Tutaonana Mama.View attachment 3201850
R.I.P
 
Acha vichekesho msibani, ndugu zake watatuelewaje tukianza kucheka, maana si watani zetu
Poleni kwa msiba mzito wa kitaifa
 
Nenda kwenye kaburi lake kalirukie kama Father Bernad
 
Vipi kuhusu vifo vya akina Soka na Wenzake hujalia sana? Na kwanini ulie sana Kwa huyu?
 
Kumbe na ccm mnakufaga? Nilijua ni kina sisi Soka azory mawazo sanane kanguye nk
 
Kijana Luka amebubujikwa sana na machozi, Sasa nawaomba wahusika pale Lumumba wamtumie afu7 yake akajipoze na njaa. Uchawa ni kazi ngumu sana unameza script kama uko Hollywood.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika nimeumia sana, nimehuzunika sana,nimesikitika sana,nimelia sana na bado moyo wangu unabubujikwa na machozi ya huzuni na uchungu mkubwa sana kwa Kifo cha Mkuu wangu wa wilaya ya Mbozi Mheshimiwa Esther Mahawe ambaye ametangulia mbele za haki.

Soma TANZIA - Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe, Esther Mahawe afariki Dunia

Huyu Mama aliipenda sana Mbozi,aliwapenda sana wana mbozi ,aliipenda kazi yake ,aliijali kazi yake,aliithamini kazi yake, alijua majukumu yake, alitimiza vyema majukumu yake, aligusa Maisha ya wengi, alichangamana na wengi, alizungumza na wengi, alikuwa kipenzi cha wana mbozi.

Alikuwa kimbilio la vijana, alikuwa mwana michezo, alikuwa faraja kwa wanamichezo, alipendwa na wengi, hakuwa na Makuu Mama wa watu, alifikika wakati wote, alishirikiana vyema na wana mbozi, alikuwa msikivu, alikuwa muungwana ,hakuwa na kiburi, hakuwa na dharau, hakuwa na majivuno, cheo kwake kilikuwa ni dhamana, cheo kwake ilikuwa ni utumishi kwa watu.

Mbona imekuwa mapema hivi kwa huyu mama? Mbona naandika huku nikiisikia sauti yake ikinijia kwa sababu nilikuwa nikimsikiliza mara nyingi kwenye mikutano yake na sisi wananchi wa Mbozi. Sasa Esther Mahawe Kalala Usingizi wa Milele? 😭😭😭. Si angetupa nafasi ya kutupatia neno la Mwisho wana mbozi?

Si angetuambia tukamuone hospitalini na atupatie mkono wa kwaheri? Si angetuita wana Mbozi hospitalini alipolazwa ili tuzungumze naye? Kwanini ametuachia majonzi kiasi hiki wana Mbozi? Nani wa kutufuta machozi wana Mbozi? Kwamba Mheshimiwa Esther Mahawe hatutamuona tena?

Inaumiza sana tena sana,nalia mimi, nalia sana, nalia kwa sababu ya mkuu wangu wa wilaya,nalia kwa sababu ya huyu mama aliyekuwa na moyo wa upendo, ukarimu, unyenyekevu, utu, uungwana na moyo wa kujitoa na kujitolea kwa watu. Amesaidia wengi na amegusa maisha ya wengi. Ameacha alama kwa wana Mbozi.

Esther Mahawe Mkuu wetu wa wilaya ya Mbozi Pumzika kwa Amani Mama. Lala salama Mama, Mwanga wa Milele ukuangazie Mama yetu.

Umepigana Vita iliyo njema, Mwendo Umeumaliza na Imani Umeilinda.

Tangulia Mama yetu. Duniani sote ni wapitaji tu. Tutaonana Mama.View attachment 3201850
Wewe unaliaga kila kitu.Hata ukiona mbalagha na maparachichi unalia tu.
NB;Apumzike kwa amani DC wetu kipenzi.
 
Back
Top Bottom