Nimelinganisha Picha za Muuza Madafu Ikulu na Yule Commando wa Jana Uwanjani na kwa Kujiamini kabisa nasema kuwa ni Watu wawili tofauti kabisa

Nimelinganisha Picha za Muuza Madafu Ikulu na Yule Commando wa Jana Uwanjani na kwa Kujiamini kabisa nasema kuwa ni Watu wawili tofauti kabisa

Moderators unganisheni hizi nyuzi zinafanana
Haya manyuzi ya komando na muuza madafu yamekuwa mengi
 
Tukitaka kukusaidia unalialia eti tunakudhihaki, nyeto moja tu ingetuepusha na hili janga.
Anza Kwanza kumsaidia Aliyekuzaa aache kila mara Kumsaliti Babaako kwa kuja Kwetu Masela ili tumalize kabisa game.
 
Moderators unganisheni hizi nyuzi zinafanana
Haya manyuzi ya komando na muuza madafu yamekuwa mengi
Hata ufanyeje kamwe huwezi Kuwapangia Moderators nini cha Kufanya katika Mada zangu sawa? Mimi ndiyo GENTAMYCINE.
 
Na nakuomba kabla ya Kuja Kuhara hapa kwa huu Ukweli niliousema tuliza Akili zako zote na zilinganishe Picha zao sawa?

Nimemaliza.
Kina Malisa wameyatimba kwa Polisi, naona kuna wanatafuta kinguvu wayatimbe kwa wazee wa KJ.
 
Sio Yeye kuna jamaa yangu kaniambia sio
Halafu mambo mengine unaweza kujiepusha nayo ukaishi kwa amani tu.

Kuna watu mpaka sasa hawajui tofauti ya na Mange ni ipi?

Mange huwezi kumfanya lolote anaishi kwenye nchi ambayo huwezi kumfanya lolote kwa anayoyafanya, lakini kwa Bongo kuna watu unawaona kabisa wanachambia sime tena Facebook kwa account zao halisi, anyway sisi tutawatunzia wake zao wakati wapo nyuma ya nondo.
 
Back
Top Bottom