Nimeliona hili mara Mbili karibu na Jengo la VIP Mortuary ya Lugalo Hospital hasa wakifa Viongozi je, lina maana au 'tunakompliketi' tu mambo?

Mkuu we itakuwa poti poti fedha🤣
 
Mkuu we itakuwa poti poti fedha🤣
Namjua sana na ni Rafiki yangu japo pamoja na 'Shobo' zake zote kuna Siku alitaka 'Kupigwa' na 'Wajeda' wa Lugalo ila kutokana na GENTAMYCINE kujichanganya Kwangu na Watu wa Rika zote na Wananikubali na Kuniheshimu niliwaomba wasimpige basi Jamaa ( Poti Poti Fedha ) tokea Siku hiyo hadi leo si tu ananiheshimu bali ananiogopa mno akidhani labda Mimi ni Mtu wa Kitengo ( System ) wakati kumbe Mimi ni Mtu wa Kawaida na nisiye na Hadhi yoyote ile hapa Tanzania.
 
Mada ambazo huwa juu ya upeo wa ma mburula mengi ya hapa JF huchangiwa kwa matusi!
Eti "katiba mpya"! Kwa uwezo huu wa kufikiri wa watu wenye access na internet ndio huu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…