johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Pita huko mikoani/wilayani ofisi utadhani ni mabanda ya kufugia kitimoto
Hakuna chama chenye fedha za kutosha kujenga ofisi kubwakubwa nchi hii.
Wajenge majengo yao.Tatizo kila mwenye jengo anaogopa kumkodishia chadema jengo kwa ajili ya ofisi kwa kuogopa fitna za serikali
Nina mfano halisi, Chadema walitaka kukodisha jengo zima la mtu fulani pale maeneo ya kijitonyama, mwenye jengo alikua na shida kweli ya pesa lakini alipoambiwa mpangaji ni chadema akasema serikali haitoniacha ngoja jibaki na shida zangu
TLP wana ofisi ya hadhi kuliko chadema. Tatizo si ukosefu wa fedha bali vipaumbele.Hakuna chama chenye fedha za kutosha kujenga ofisi kubwakubwa nchi hii, ofisi nyingi za CCM ni mali ya umma.
Wajenge majengo yao.
Ipi hiyo? Ile ya pale Magomeni ππTLP wana ofisi ya hadhi kuliko chadema. Tatizo si ukosefu wa fedha bali vipaumbele.