Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
wamekodi au waliinunua?Yes Sir.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wamekodi au waliinunua?Yes Sir.
Walinunua kipindi kile wakiwa chama kikuu cha upinzani ruzuku wakipata nzuri.wamekodi au waliinunua?
Hivi michango yenu mnayochangisha huwa mnapeleka wapi?Sababu ya hao wengine kua na jengo kubwa la ghorofa, ni kutapeli wananchi. Kudhulumu rasilimali za taifa, na unyonyaji uliopitiliza!
Majengo mazuri lakini ndani hakuna matumizi yoyote,nenda Dsm majengo marefu mengi yako matupuSijui Chadema wanakapendea nini hako kajengo miaka yote.
MhhhhAibu tupu, Makao Makuu ya CDM, hivi swali dogo tu, ikiwa hata ofisi Chadema hawawezi jenga, chadema watabomoa kabisa nchi badala ya kujenga.
Nyie mna majengo ya aina hiyo ila sera mbovu, hivyo hamna faida kwa nchi.
Korea waliopigana vita mwaka 1954 na tukawa tunawazidi kiuchumi, mwaka 1958 walikuwa na hali mbaya, ila leo wanatengeneza simu za Samsung huku Tanzania chini ya CCM kwa miaka 60 sasa, inahangaika na matundu ya choo-John Heche.
Hili jengo la CCM limesaidiaje kuondoa umasikini wa Watanzania, mbona bado tunapata misaada ya kujengewa vyoo?Miaka yote hiyo kumbe mnatokea hapa[emoji23], nimesikia mnazindua CHADEMA Digital Marekani na bado makao makuu ni hapa.
KAMA HAMJAWEZA KUJENGA OFISI MTAWEZA KUJENGA NCHI?
View attachment 1884546
CUF nao wamemtapeli naniSababu ya hao wengine kua na jengo kubwa la ghorofa, ni kutapeli wananchi. Kudhulumu rasilimali za taifa, na unyonyaji uliopitiliza!
Mh! Kamanda na wewe?Sijui Chadema wanakapendea nini hako kajengo miaka yote.
Mmesahau kuwa ubora wa chama ni uungwaji mkono na watu sio majengo.Miaka yote hiyo kumbe mnatokea hapa[emoji23], nimesikia mnazindua CHADEMA Digital Marekani na bado makao makuu ni hapa.
KAMA HAMJAWEZA KUJENGA OFISI MTAWEZA KUJENGA NCHI?
View attachment 1884546
Kupewa nchi kigezo ni kuungwa mkono na raia sio uwingi na ubora wa majengo.Sasa hawa ndio wanataka wapewe nchi. Tutafika kweli.
Acha CCM iendelee kutawala mpaka Upinzani utakapokuwa na akili
Sawa hio iliwezekana kwa sababu ni uhuru ulikuwa unapiganiwa. Sahvi tunataka kujenga nchi na maendeleo.Kupewa nchi kigezo ni kuungwa mkono na raia sio uwingi na ubora wa majengo.
Ata Nyerere alipewa nchi kwa kuungwa mkono na raia maana wakati ule majengo bora yalikuwa ya mkoloni,TANU haikuwa na kitu cha maana.
Chama ni watu(wanachama) sio majengo.Mara kadhaa viongozi wa CHADEMA wamesikika wakinadi maendeleo ya watu badala ya vitu. Na wakati mwingine wameibeza CCM kwa kujikita kwenye maendeleo ya vitu ( miundombinu)
Ndiposa leo nikapata bahati ya kufika mtaa wa Ufipa hadi pale makao makuu ya chama hiki kikuu cha upinzani. Kimsingi nimekubaliana nao kwamba wao hawaamini katika maendeleo ya vitu maana jengo na samani za ofisini zinadhihirisha hilo.
Ni ukweli ulio wazi kama CHADEMA ingechaguliwa 2015 haya maendeleo ya ujenzi wa miundombinu ikiwemo SGR, Bwawa la umeme Fly overs, ununuzi wa ndege nk. ingekuwa bado ni ndoto kwa watanzania.
Niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!
Hata kiwanja hawana achilia mbali hiyo plan ya jengoAibu tupu, Makao Makuu ya CDM, hivi swali dogo tu, ikiwa hata ofisi Chadema hawawezi jenga, chadema watabomoa kabisa nchi badala ya kujenga.
Joni mbatizaji mbona unaleta hoja yenye mawazo finyu kama vile tuko kwenye kijiwe cha kamali! Marehemu Ghadafi aliishi kwenye hema na aliweza kutupa misaada! Pamoja na kuishi ndani ya hema nchi yake ilikuwa na kiwango cha juu sana kimaendeleo, hiyo CCM na majengo unayoyapigia chapuo yalijengwa kwa fedha za umma na tulipoingia mfumo wa vyama vingi ikapora, leo wewe unasifia wizi! Haufai kuwa mbatizaji.Mara kadhaa viongozi wa CHADEMA wamesikika wakinadi maendeleo ya watu badala ya vitu. Na wakati mwingine wameibeza CCM kwa kujikita kwenye maendeleo ya vitu ( miundombinu)
Ndiposa leo nikapata bahati ya kufika mtaa wa Ufipa hadi pale makao makuu ya chama hiki kikuu cha upinzani. Kimsingi nimekubaliana nao kwamba wao hawaamini katika maendeleo ya vitu maana jengo na samani za ofisini zinadhihirisha hilo.
Ni ukweli ulio wazi kama CHADEMA ingechaguliwa 2015 haya maendeleo ya ujenzi wa miundombinu ikiwemo SGR, Bwawa la umeme Fly overs, ununuzi wa ndege nk. ingekuwa bado ni ndoto kwa watanzania.
Niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!