Nimelitathimini jengo la Makao Makuu ya CHADEMA pale Ufipa na nimeridhika chama hicho hakijali Maendeleo ya Vitu

Nimelitathimini jengo la Makao Makuu ya CHADEMA pale Ufipa na nimeridhika chama hicho hakijali Maendeleo ya Vitu

Nyie mna majengo ya aina hiyo ila sera mbovu, hivyo hamna faida kwa nchi.

Korea waliopigana vita mwaka 1954 na tukawa tunawazidi kiuchumi, mwaka 1958 walikuwa na hali mbaya, ila leo wanatengeneza simu za Samsung huku Tanzania chini ya CCM kwa miaka 60 sasa, inahangaika na matundu ya choo-John Heche.
 
Miaka yote hiyo kumbe mnatokea hapa[emoji23], nimesikia mnazindua CHADEMA Digital Marekani na bado makao makuu ni hapa. View attachment 1884546
Huna Akili kabisa unafananisha Chama chenye Serikali kinachotumia hela za Serikali na Chama kichanga kisicho na Serikali Akili au Matope
20210716_160047.jpg
 
Pale unapikuta mwenye akili km wewe na unajiita msomi kwa kufikiria majengo mazuri ndo yataondoa umasikini wako hapo, em amka bhana, unaaibisha jukwaa hili
 
Pale unapikuta mwenye akili km wewe na unajiita msomi kwa kufikiria majengo mazuri ndo yataondoa umasikini wako hapo, em amka bhana, unaaibisha jukwaa hili
Kwahiyo majengo yakukodi kama la CHADEMA ndo yanaleta maendeleo? Kama kiongozi kashindwa kujenga ofisi ataweza kujenga nchi?
 
Wapo walioshika dola wakiwa hawana hata ofisi na waliendesha vikao vyao kwenye vijiwe vya kahawa..
 
Chadema wakishika nchi watajenga chama Chao kabla ya nchi
 
Back
Top Bottom