Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Kwahiyo wanonyeshewa na mvua ndani ya ofisi sio watu ni vitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We Corona ingefichwa huyo mbeligiji wenu angekuwa anazurura nchi nzima bila barakoa.SGR imekosewa usanifu wake nyie subirini tu mtajuwa manake sasa hivi mambo yamefichwa kama ilivyofichwa corona.
So what?Juzikati nilitembelea mji wa mzee Mwinjuma katika ile nyumba ilipozaliwa Tanu ili kujikumbusha historia....
Sijarogwa bwashee.So what?
Mmetaka bunge la kijani mmelipata.
Mmentaka Maalim Seif wa kijani mmempata....
Kama kauli mbinu yenu ni mahendereho hayanaga richama, unaisakama CHADEMA ambacho Ni chama cha kisiasa ili upate nini?Sijarogwa bwashee.
Ni swala la kujadili maendeleo tu!
Why don't you mind your own business?Sijarogwa bwashee.
Ni swala la kujadili maendeleo tu!
Ila ccm kama ccm bila vyanzo vya mapato ya serikali kingejifia mapema sana chadema wanajitahidi mno vyombo vyote vya serikali wanapambana na chadema na bado kinawakimbizaSijarogwa bwashee.
Ni swala la kujadili maendeleo tu!
mambo.ni taiti hadi.kupumua ni shida, ,,tajapumuliwa sasa, hakuna kurogwa kiboyaboyaSo what?
Mmetaka bunge la kijani mmelipata.
Mmentaka Maalim Seif wa kijani mmempata.
Mmemtaka Zitto wa kijani, mmempata.
Mmemtaka Halima Mdee na wenzanke wa kijani mmewapata.
Mmetaka nchi ya kijani mmeipata.
Tafadhali sana, acha kuisakama CHADEMA yetu.
Wenye mapenzi mema tumekapenda kakibanda hakohako.
Unaongelea eti miradi ya kihujumu UCHUMI, Bwawa la Rufiji, tumepoteza trillion ngapi kwenye miradi ya gesi, kuanzia utafiti, upatikanaji, kujenga pipeline, Hadi kiwanda Kinyerezi.
Hivi nyie masisiyemu hamuoni mnapoteza rasilimali fedha za taifa hili kwa unfinished business zenu?
Mabilioni yamepotea kwenye gesi, kwenye bunge la katiba, kwenye mandege yasiyo na tija nk.
Ndugu yangu johnthebaptist, badala ya kuisakama CHADEMA msakame MAGUFULI na mapepo yake, katuletea limeli, toka Dar mpaka Bagamoyo limetumia siku nzima.
Na Ni yeye aliyekwenda kuliangalia, kulikagua na kulisimamia tangu linajengwa.
Tunaomba utuache sisi na CHADEMA yetu, nyie endeleeni na kijani chenu, na mashuka yenu mjitahidi yawe ya kijani Kama ya theatre.
Tuwache tupumuwe
Unatumia nguvu na wakati mwingi kuisema Chadema sijui kwa nini.Sijarogwa bwashee.
Ni swala la kujadili maendeleo tu!
Bujibuji,So what?
Mmetaka bunge la kijani mmelipata.
Mmentaka Maalim Seif wa kijani mmempata.
Mmemtaka Zitto wa kijani, mmempata.
Mmemtaka Halima Mdee na wenzanke wa kijani mmewapata.
Mmetaka nchi ya kijani mmeipata.
Tafadhali sana, acha kuisakama CHADEMA yetu.
Wenye mapenzi mema tumekapenda kakibanda hakohako.
Unaongelea eti miradi ya kihujumu UCHUMI, Bwawa la Rufiji, tumepoteza trillion ngapi kwenye miradi ya gesi, kuanzia utafiti, upatikanaji, kujenga pipeline, Hadi kiwanda Kinyerezi.
Hivi nyie masisiyemu hamuoni mnapoteza rasilimali fedha za taifa hili kwa unfinished business zenu?
Mabilioni yamepotea kwenye gesi, kwenye bunge la katiba, kwenye mandege yasiyo na tija nk.
Ndugu yangu johnthebaptist, badala ya kuisakama CHADEMA msakame MAGUFULI na mapepo yake, katuletea limeli, toka Dar mpaka Bagamoyo limetumia siku nzima.
Na Ni yeye aliyekwenda kuliangalia, kulikagua na kulisimamia tangu linajengwa.
Tunaomba utuache sisi na CHADEMA yetu, nyie endeleeni na kijani chenu, na mashuka yenu mjitahidi yawe ya kijani Kama ya theatre.
Tuwache tupumuwe
Watu wanapiga ikulu ya MpalangeKwanza inaonekana huyu jamaa ana asili ya kike! kutembea kote huko ni kutafuta umbea tena wa kike.
mambo mengine achana nayo mind your own business.