G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
Nyie nao fanyeni basi dhuluma angalau muwe na jengo, kma kutapeli na kudhulumu ni rahisi kiasi hicho mkuu.Sababu ya hao wengine kua na jengo kubwa la ghorofa, ni kutapeli wananchi. Kudhulumu rasilimali za taifa, na unyonyaji uliopitiliza!
Ni kweli cdm kukosa ofisi yenye hadhi yao kwa muda wote huu ni fedheha kwao. Lakini ccm hawana uwezo wa kuwacheka maana 80%+ ya majengo yake ni ya kurithi kwa shuruti toka mfumo wa chama kimoja. Na ukitaka kujua ni ya kurithi na kama sio umiliki wao wa dola wasingekuwa na chochote, zunguka nchi nzima, majengo ya ccm ndio machakavu na ya kizamani zaidi, mengi yana hali mbaya hata kupiga rangi yamewashinda. Nitajie uwanja wa mpira ccm waliojenga baada ya mfumo wa vyama vingi, kaangalie uwanja wa Ali Hassan Mwinyi hapo Tabora nk, ndio utajua nasema nini.Miaka yote hiyo kumbe mnatokea hapa[emoji23], nimesikia mnazindua CHADEMA Digital Marekani na bado makao makuu ni hapa.
KAMA HAMJAWEZA KUJENGA OFISI MTAWEZA KUJENGA NCHI?
View attachment 1884546
CCM wamejenga jengo lipi ?Sijui Chadema wanakapendea nini hako kajengo miaka yote.
Hiyo mlijengewa na mchinaMiaka yote hiyo kumbe mnatokea hapa[emoji23], nimesikia mnazindua CHADEMA Digital Marekani na bado makao makuu ni hapa.
KAMA HAMJAWEZA KUJENGA OFISI MTAWEZA KUJENGA NCHI?
View attachment 1884546
Miaka yote hiyo kumbe mnatokea hapa[emoji23], nimesikia mnazindua CHADEMA Digital Marekani na bado makao makuu ni hapa.
KAMA HAMJAWEZA KUJENGA OFISI MTAWEZA KUJENGA NCHI?
View attachment 1884546
CDM kulipana posho ndio wanajua. Ofisi yao hawawezi kuijenga wakipewa nchi si watauza kila kitu.
CDM ovyo kabisa.
Tunataka maji na vyoo.majengo mazuri hayatuhusu Mahayana msaada kwetuKwahiyo majengo yakukodi kama la CHADEMA ndo yanaleta maendeleo? Kama kiongozi kashindwa kujenga ofisi ataweza kujenga nchi?
Sijui Chadema wanakapendea nini hako kajengo miaka yote.
Watu wana vichwa vikubwa ila hawana akili humo ndani, sjaona faida ya majengo hayo makubwa, so what is the impact for these big for nothing buildings, humo humo ndimo mnakaa kulihujumu taifa, wezi wote mnawafugia humo humo. Huna akili weweMiaka yote hiyo kumbe mnatokea hapa[emoji23], nimesikia mnazindua CHADEMA Digital Marekani na bado makao makuu ni hapa.
KAMA HAMJAWEZA KUJENGA OFISI MTAWEZA KUJENGA NCHI?
View attachment 1884546
Acha ujinga basi,nchi haijengwi kwa pesa za viingilio kwenye chama,nchi inajengwa kwa Kodi,unajuaje kwamba Chadema haiwezi kujenga nchi,kwani imeishawahi kutawala nchi hii?hii nchi haijengwi kwa michsngo ya ccm na watu wake,nchi inajengwa na Kodi zinazokusnywa na majizi ya ccmMiaka yote hiyo kumbe mnatokea hapa[emoji23], nimesikia mnazindua CHADEMA Digital Marekani na bado makao makuu ni hapa.
KAMA HAMJAWEZA KUJENGA OFISI MTAWEZA KUJENGA NCHI?
View attachment 1884546
Pamoja na yote lakini kufananisha mali ambazo kwa 85% zilitaifishwa kutoka kwa mali za umma/ wananchi na kuzimilikisha kwenye chama halafu unalinganisha na chama ambacho kinapambana kwanza na chama tawala ,pili serikali, tatu vyombo ya ulinzi na usalama,nne tume ya uchaguzi na tano msajili wa vyama vya siasa halafu ndani ya makucha hayo yote bado chama kinaitesa serikali tangu mwaka 1992 hadi 2021 August 7 kwakweli hujatenda haki kabisa katika mlinganisho wako huo.Miaka yote hiyo kumbe mnatokea hapa[emoji23], nimesikia mnazindua CHADEMA Digital Marekani na bado makao makuu ni hapa.
KAMA HAMJAWEZA KUJENGA OFISI MTAWEZA KUJENGA NCHI?
View attachment 1884546
Chama cha mapinduzi kina mali nyingi za unyang'anyi kutoka kwa wananchi zilizo patikana kabla ya vyama vingi yakiwemo majengo, kumbi, maeneo ya wazi, na viwanja pamoja na magari kwa wakati huo, hivyo ni ujinga kufananisha na chama ambacho kimeanza na moja kujipanga kikiwa hakina kitu chochote .Na sababu ya hao wengine kushindwa hata kumiliki ofisi nzuri ni ulemavu wa akili.
Tatizo hawa vijana waliozaliwa juzi, wengi hawafahamu kuwa majengo ya CCM na mali zao za sasa, tulilazimishwa kuchangia watz wote, kipindi hicho wakati wa Chama kimoja kupitia kila unaponunua bidhaa adimu kwenye maduka na ndio majengo na viwanja vya michezo mnavyoona nb leo...'to bei fair' mali zingerudi serikalini na kila chama kianze 'on fair ground ' mara baada ya kuanzishwa vyama vingi.........Sababu ya hao wengine kua na jengo kubwa la ghorofa, ni kutapeli wananchi. Kudhulumu rasilimali za taifa, na unyonyaji uliopitiliza!
Ofisi inaweza kuwa digitalKwa hiyl sera yenu nzuri ndio imefanikisha hilo jengo hapo
Kipaumbele ni kulipa madeni hewa ya mwenyekiti kila mwaka. Hata TLP wana ofisi yenye uafadhali.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jengo nzuri lenye hadhi ukiwa na milioni 400 tu linakamilika!
Yani hadi Diamond kawazidi
Yes Sir.Hivi makao makuu ya CUF bado ni haya hata baada ya hayati Maalim kjiondoa CUF?
View attachment 1884810