Nimelizwa, nimeumizwa na kufadhaishwa mno na kifo cha kijana huyu

Vita ya Congo haiwezi kuisha maana ni ya mkakati kama vile Iraq, Syria, Libya na kwengineko.
 
Pole
 
Aisee 😪😪 nimewish iwe ni movie tu siyo ukweli, inahuzunisha mno, tulinde amani, vita ni mbaya
Mkuu sisi tunaoishi katika nchi za amani hatuwezi kujua madhila wanayopitia wenzetu kwenye nchi za vita. Kuna watu wanazaliwa vitani, wanakulia vitani na kufia vitani pia.

So ile kuzaliwa na kukulia katika nchi ya amani kama Tanzania ni swala la kumshukuru Mungu sana.
 
Aah yaani nimeimagine maumivu aliyopitia alivoambiwa wazazi na mdogo wake wameuawa nyiee, sijui hata nisemaje😭😭
 
Aah yaani nimeimagine maumivu aliyopitia alivoambiwa wazazi na mdogo wake wameuawa nyiee, sijui hata nisemaje😭😭
Japo mara nyingi kifo hakiombwi na pia aina ya mauaji yake yalikuwa mabaya. Lkn nafikiri sasa amepumzika kwa amani pamoj na wapendwa wake wote waliokuwa wametangulia mbele ya haki akiwemo mlezi wake Rama.
 
80% ya binadam wa miaka hii wana roho mbaya na ngumu zaidi ya shetan mwenyewe. Fikiria kumchoma mtu aliekuwa ndan kalala, hajamshikia mtu kisu wala bunduki. Hii inaonesha ni jinsi gan binadam wengi wasivyokuwa na huruma kwa wengine.
Mengi tunayofanyiana sisi wenyewe binadamu shetan huwa hausiki. Ni kwa vile tu tumekuwa na utaratibu wa kumuangushia jumba bovu shetan hata kwa yale tuyafanyayo wenyewe.
Haiwezekani umfanyie binadamu mwenzako unyama kwa mkono wako na kwa kupenda kwako afu baadae uje useme shetan alihusika. Alihusikaje na wakati wewe au huyo uliemfanyia unyama hakumuona huyo shetani?
Matokeo yake mtu akiambiwa alete ushahidi wa kisayansi wa kuhusika shetan katika jambo husika mtu anabaki anatoa macho tu.
 
Inasikitisha sana
 
Sio kweli. Kinachotokea hapo ni urafi wa mtu mweusi, ni kuwa hawa M23 ni wakazi kindaki ndaki wa maeneo husika wanaotaka kujitawala ili wafaidi vizuri keki ya utaifa wao. Wana conection ya matajili wenzao nje. Sasa wewe na jeshi lako kuingia maficho yao ndio kazi mana huwa hujichanganya na raia,. Raia wazawa nao wanawasapoti wengi wao. Ipo hivyo. Nchi ikishakuwa kubwa na maeneo ya utajiri wa machimbo harafu mgawanyo wa utajiri huo kwa wazawa haueleweki tatizo huanxia hspo.
 
Hawana ukazi wa kindaki ndaki chochote, hawa ni wakimbizi waliokimbia utawala wa kimabavu na kibaguzi wa kihutu mnamo miaka ya 60 hadi 70.
Kumbuka miaka hiyo wapo watutsi waliokimbilia Congo, Tanzania, Burundi, Uganda, Kenya na kwengineko. Waliokimbilia Tanzania na Uganda ndio wale kina Kagame waliorudi kupigania nchi yao mwaka 1994, ila wale waliokimbilia Congo wengi hawakurudi, bali waliomba vibali vya ukazi kwa kutaka waunganishwe kuwa sehem ya raia wa Congo. Serikali ikawakubalia na kuwa wakazi rasmi wa Congo bila serikali hiyo kujua kitachotokea baadae.
Sasa leo ndio wanaotumiwa na nchi fulan kuiba rasilimali za Congo na kuzipeleka huko kwa waliowatuma.
Haya mambo ni mazito, kwa mtu mwenye mtazamo kama wako hawezi kuyajua. Mimi nimekwambia hadi umoja wa mataifa unajua afu ww unasema sio kweli, sasa nakuwekea kipande cha taarifa hapo chini afu uniambie kama kweli umoja wa mataifa huo haujui kinachoendelea. Kati ya umoja wa mataifa na wewe au mimi nani anaeijua zaidi dunia na yale yanayoendelea huko kongo na kwengineko duniani?
Sisi tunaongea vitu vyenye fact kwa vile 85% hadi 90% ya nchi za Afrika na makabila yake tunaifahamu vizuri tu.
 

Attachments

  • Screenshot_20220826-084248.jpg
    63.8 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…