Nimemaliza chuo nimeingia kwenye bodaboda, nimekutana na yule aliishia form four huku huku

Nimemaliza chuo nimeingia kwenye bodaboda, nimekutana na yule aliishia form four huku huku

Ajira ni ngumu
Wiki hii kuna kijana ameniletea mzigo fulani amesema yeye amehitimu Kampala University, degree of Medicine, sasa ni bodaboda, I was shocked, daaah, nikampa namba ya mtu walau amsaidie how to get sponsors, mbaya zaidi hana hata simu kubwa.

Nilijisikia vibaya.
 
Kwaiyo Mimi na yule jamaa alieishia form four ni sawa ndio maana wote tumekuwa mabodaboda

Depression
Huna akili wewe punguani kabisa. Hujaelrwa hata huko chuo ulienda kufanya nn mjinga mmoja wewe.hivi mfuga nguruwe aliyesoma na ambaye hajasoma ni sawa? Kufanya tofauti ndiyo tofauti yenu jinga wewe.
 
Ajira ni ngumu
Wiki hii kuna kijana ameniletea mzigo fulani amesema yeye amehitimu Kampala University, degree of Medicine, sasa ni bodaboda, I was shocked, daaah, nikampa namba ya mtu walau amsaidie how to get sponsors, mbaya zaidi hana hata simu kubwa.

Nilijisikia vibaya.
Aiseee mfumo wetu wa elimu ni changamoto sana kwakweli
 
... MIMI NILIAJIRIWA NA MTU NILIYEMUACHA DARASA LA SABA!
ELIMU IKUKOMBOE NA UJINGA WA KUFIKIRI KUSOMA NA PESA NDO KILA KITU!
 
Dogo punguza mbwembwe kumaliza chuo imekuwa wimbo kila mada unazungumzia kumaliza chuo.

Kunawenzako wanamiaka kumi wamemaliza walishasahau hizo mbwembwe
 
piga kazi mkuu -- wote tunahangaika kikubwa boresha.

to be fair school system ishakuwa ya ajabu ajabu anayeishia form 4 na akaingia street kukaza anakuja kuwa wa maana sana ukishakuja toka chuo.

piga kazi mkuu
Kabisa Cha msingi mtu awe na ujuzi
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Usilaumu kuhusu Chuo
Mtu aliye na ujuzi hapati shida iwe alienda au hakuenda chuo
 
Usilaumu kuhusu Chuo
Mtu aliye na ujuzi hapati shida iwe alienda au hakuenda chuo
F2A0FDFF-979C-4AED-8AB2-571E7A51886E.jpeg
 
Ajira ni ngumu
Wiki hii kuna kijana ameniletea mzigo fulani amesema yeye amehitimu Kampala University, degree of Medicine, sasa ni bodaboda, I was shocked, daaah, nikampa namba ya mtu walau amsaidie how to get sponsors, mbaya zaidi hana hata simu kubwa.

Nilijisikia vibaya.
Dah
 
Kaza mdogo wetu bila hivyo watakutatua marinda maana sasa kumaliza chuo imekuwa kama wimbo kinywani mwako .

Wenzio vyuo tulisoma mpaka huko kwa weupe na bado tukaja bongo kungang'ania vihela vya kodi za walala hoi na huwezi kusikia tunaongela mambo ya sijui nilimaliza chuo ,tupo tunapigika maisha magumu ila pombe inarelief maisha .

Kaza acha kulalama mwanakwetu
 
Back
Top Bottom