Nimemaliza chuo nimeingia kwenye bodaboda, nimekutana na yule aliishia form four huku huku

Nimemaliza chuo nimeingia kwenye bodaboda, nimekutana na yule aliishia form four huku huku

Komaa tu bro angalau mkono uende kinywani huku unachora ramani na kupata network + kuusoma mchezo.

Bahati mbaya tuliowaamini na kuwapa madaraka wako busy kutengeneza utajiri wa mpaka generation ya sita kwa kuwaslave wengine, Elimu yako wanaamini itakusaidia mwenyewe na sio Taifa na jamii, ndio maana hakuna mipango yeyote yakuhakikisha wasomi wanakuwa na mchango kwenye ukuaji wa Taifa.

ndani ya Homs-Syria.
 
Kwaiyo Mimi na yule jamaa alieishia form four ni sawa ndio maana wote tumekuwa mabodaboda

Depression
Na wewe kuna mwenye masters atakukuta, sasa nae atasemaje, muoneshe huyo form four kwamba wewe ni zaidi, mfano badala ya kumiliki mademu 8 (typical behaviour ya bodaboda)we make kuemdelea hatua nyingine
 
Tuliza kipago apo uwezo wa kufikiria ndo mmetofautiana tunaamini wew uwezo wako wakufikiria mambo ni mkubwa…
 
Mkuu

Mambo ni mengi kwenye kuendesha boda ili shughuli hiyo ikupe maisha bora. Mfano kuna customer care, management nzuri ya mapato nk
Nakuelewa sanaa mkuu ila ni kaz ngumu sanaa ile bas tyu mana lazima akili zako ziwe chale chale tu
 
Kwaiyo Mimi na yule jamaa alieishia form four ni sawa ndio maana wote tumekuwa mabodaboda

Depression
Wakati unasoma ulitegemea kuwa nani, unajua maana ya elimu? Umesoma UDOM maana kile siyo chuo ni sawa na shule za kata. We hujaelemika umekariri madesa ili ufaulu ht sahv mtu akija kukufanyia interview hapo hakuna unachokumbuka.
 
mwenye elimu aliyeelimika hua anaona matobo(opportunity)...hapo ndio pa kupima elimu yako kama ilikua halisi au ulikua unatafuta A za walimu
shoutout kwako kuamua kufanya biashara(bodaboda) ndio mwanzo mengi yanakuja
NB! wengi wana degree wapo ndani wanahangaika na magroup ya ajira wakistuka wanaanza kudharaulika mtaani
 
Back
Top Bottom