Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Mwenzako tayari ana uzoefu kazini na wateja wa kutosha....Kwaiyo Mimi na yule jamaa alieishia form four ni sawa ndio maana wote tumekuwa mabodaboda
Depression
Mwenzako tayari ana uzoefu kazini na wateja wa kutosha....Kwaiyo Mimi na yule jamaa alieishia form four ni sawa ndio maana wote tumekuwa mabodaboda
Depression
Dah hongera kwa kuwa mtumishi wa serikali nyie ndo wale mnaokula keki ya serikali kila mwisho wa mweziIla vijana wakiwa chuo wanaona kila aliyepo mtaani ni pimbi kama mapimbi wengine.... Nilimaliza pale udsm mwaka 2012 and by that time nilikua naona maisha nimeyapatia, ingawa sio haba t hutu tukazi twa serikali tunapata hela ya kula...
Leo 2025 kuna madogo huku mtaani wanasoma vyuo sijui udsm, udom sasa wakija likizo wanatamba na kutuelezea mambo ya chuo sijui wanapata boom, course work inakuwaje kuwaje ile kuji brag.... Huwa naishia kucheka kimoyo moyo.
Inaonekana ulisoma Kwa ku beep, ww na yeye mpo tofauti tena sana. Unaweza tumia elimu yako kutoboa au ukaamua kuachana na elimu ukahaso kimtaa mtaa na ukatoboa pia ila yeye option alonayo ni moja tu. Sasa huoni kama mpo tofauti?Kwaiyo Mimi na yule jamaa alieishia form four ni sawa ndio maana wote tumekuwa mabodaboda
Depression
Hamna mkuu sie tuliosoma kipindi cha kikwete kuna baadhi course ajira za serikali zilikua ni lazima upate may be mwenyewe kama hutaki.Dah hongera kwa kuwa mtumishi wa serikali nyie ndo wale mnaokula keki ya serikali kila mwisho wa mwezi
Wawili Hawa wameliza chuo Pamoja na wanajua kirefu,mmoja anauza chips mwingine anauza mkaa.Kwaiyo Mimi na yule jamaa alieishia form four ni sawa ndio maana wote tumekuwa mabodaboda
Depression
Bora unaingiza hata bukubuku, wenzio huku tunakazi ya kuonyesha vyeti huku tukisubiria msosi wa mama!Kwaiyo Mimi na yule jamaa alieishia form four ni sawa ndio maana wote tumekuwa mabodaboda
Depression
Bora unaingiza hata bukubuku, wenzio huku tunakazi ya kuonyesha vyeti huku tukisubiria msosi wa mama!Kwaiyo Mimi na yule jamaa alieishia form four ni sawa ndio maana wote tumekuwa mabodaboda
Depression
Wakati MSOMI wa Kilimo,kaanzia kulima kijijini na anaenda na fani ya Kilimo (SUA).Tatizo la kwenda chuo bila hata kujichanganya kwanza kila kitu utaona kipya wakati ulikuwepo hapa hapa...
Bora uzoefu wa mitaani, maana ukimaliza kazi kwa kustaafu,unarudi Tena kitaa!Dah hongera kwa kuwa mtumishi wa serikali nyie ndo wale mnaokula keki ya serikali kila mwisho wa mwezi
Sasa mpaka unastaafu si utakuwa mzee ushajipanga unarud mtaan kuwa boda boda tena na ushastaafuBora uzoefu wa mitaani, maana ukimaliza kazi kwa kustaafu,unarudi Tena kitaa!
Hahaha kwa iyo kuendesha boda panahitaj Elim ya chuo tena mkuuItumie elimu yako kumakinika zaidi katika biashara hiyo.
😄😁😀 haiwezekani ajiulize ivoKawaida iyo mkuu.
Hata yeye anajiuliza yaani jamaa karudi chuo kanikuta vilevile yaani tupo sawa.
MkuuHahaha kwa iyo kuendesha boda panahitaj Elim ya chuo tena mkuu