Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 6,450
- 17,648
Boom la kufanyia maisha huwa mnalipwa sh ngapi wenzetu?Boom ulikua unatombea TU, wenzako boom tumefanyia maisha
Na wewe kuna mwenye masters atakukuta, sasa nae atasemaje, muoneshe huyo form four kwamba wewe ni zaidi, mfano badala ya kumiliki mademu 8 (typical behaviour ya bodaboda)we make kuemdelea hatua nyingineKwaiyo Mimi na yule jamaa alieishia form four ni sawa ndio maana wote tumekuwa mabodaboda
Depression
Nakuelewa sanaa mkuu ila ni kaz ngumu sanaa ile bas tyu mana lazima akili zako ziwe chale chale tuMkuu
Mambo ni mengi kwenye kuendesha boda ili shughuli hiyo ikupe maisha bora. Mfano kuna customer care, management nzuri ya mapato nk
Kwaiyo Mimi na yule jamaa alieishia form four ni sawa ndio maana wote tumekuwa mabodaboda
Depression
Wakati unasoma ulitegemea kuwa nani, unajua maana ya elimu? Umesoma UDOM maana kile siyo chuo ni sawa na shule za kata. We hujaelemika umekariri madesa ili ufaulu ht sahv mtu akija kukufanyia interview hapo hakuna unachokumbuka.Kwaiyo Mimi na yule jamaa alieishia form four ni sawa ndio maana wote tumekuwa mabodaboda
Depression