Nimemaliza kuangalia Series ya Breaking Bad na Game of Throne, naombeni nyingine kama hio

hermanthegreat

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2021
Posts
1,274
Reaction score
3,282
Baada ya kuona watu wanazisifia sana hizi series mbili ikabidi nizitafute.

Itoshe kusema breaking bad ni bonge la series.

Game of thrones nayo iko vizuri japokuwa sio kama breaking bad.

Msimu huu wa sikukuu naombeni list ya series kali za hivi karibuni,
Natanguliza shukrani
 
Kama umaielewa vzr BB anza kuchek Better Call Saul.
 
Baada ya kuona watu wanazisifia sana hizi series mbili ikabidi nizitafute.

Itoshe kusema breaking bad ni bonge la series.

Game of thrones nayo iko vizuri japokuwa sio kama breaking bad.

Msimu huu wa sikukuu naombeni list ya series kali za hivi karibuni,
Natanguliza shukrani
Kwa hiyo, mwamba umeangalia season zote za Breaking Bad?, wewe mtu m_Bad!
 
S1 E5 : minute 19

Badger: Dude, check this out.

Jesse: Jesus, what the hell are you bringing that for?

Badger: Hunting. We might see javelinas.Haka kakipande kalinifurahisha sana mpaka nikakagoogle hasa hilo neno Javelinas tamka Haavelina
 
Honestly speaking nilianza elisode 1 ya B.bad ila haikunivutia, labda kwa aliyeielewa atuelezee kidogo utamu wake upo wapi.

Series ya kucheki hapo ni VIKING. hautapoteza muda.
Bb inakuwa nzuri unavozidi kuiangalia, hasa kuanzia season 3 kuendelea , ukifika hapo huwezi kuiacha.
Vikings niliicheki sema sikuimalizia alipokufa tu starling Ragnar , nikaona hii movie sio nikaipiga chini
 
S1 E5 : minute 19

Badger: Dude, check this out.

Jesse: Jesus, what the hell are you bringing that for?

Badger: Hunting. We might see javelinas.Haka kakipande kalinifurahisha sana mpaka nikakagoogle hasa hilo neno Javelinas tamka Haavelina
Kuna ile Part jamaa WW aliyosema
"I'm not in danger, I'm the danger"
"I'm the one who knocks" 😁
 
Back
Top Bottom