Nimemaliza kuangalia Series ya Breaking Bad na Game of Throne, naombeni nyingine kama hio

Nimemaliza kuangalia Series ya Breaking Bad na Game of Throne, naombeni nyingine kama hio

S1 E5 : minute 19

Badger: Dude, check this out.

Jesse: Jesus, what the hell are you bringing that for?

Badger: Hunting. We might see javelinas.Haka kakipande kalinifurahisha sana mpaka nikakagoogle hasa hilo neno Javelinas tamka Haavelina
We jamaa uko kama mie hiki kipande Badger anaonyesha kitu kama upinde Jesse anauliza nini hiki? Sasa namna Badger anavyojibu ndo raha yenyewe.

Sehemu ingine nayoikubali kuna ile wako lab na Mr White ambapo White aligoma cooking isifanyike hadi waondoe contamination. Kuna ile Jesse anamvizia White asimuone akifanya mixture ili apike sasa wakati anataka kufungua ule mfuko maneno alikua anasema. Nakumbuka alisema sentensi kama "Even the government doesn't care that much about quality"

Mara ghafla White anatokea anamuuliza unafanya nini? Ile sehemu huwa nafurahi kifupi ile muvi iko poa hua nakaa halafu naanza tena kuiangalia
 
Baada ya kuona watu wanazisifia sana hizi series mbili ikabidi nizitafute.

Itoshe kusema breaking bad ni bonge la series.

Game of thrones nayo iko vizuri japokuwa sio kama breaking bad.

Msimu huu wa sikukuu naombeni list ya series kali za hivi karibuni,
Natanguliza shukrani
Boardwalk Empire
Narcos
Sopranos
The Wire
Peaky Blinders
Power
 
Hivi kuna season nyingine kali ambayo Tyron lanister(dwarf) kaonekana mbali na GOT
Screenshot_20241226_100149.jpg
 
Honestly speaking nilianza elisode 1 ya B.bad ila haikunivutia, labda kwa aliyeielewa atuelezee kidogo utamu wake upo wapi.

Series ya kucheki hapo ni VIKING. hautapoteza muda.
Nasikitika kusema kilichokutikea ww ndio kimenitokea mimi episode 1 yani vitu sijavielewa kabisa nilijionea kasheshe tu yani hata episode yenyewe sikuimaliza Viking niko season 4 nimestuck kutokana na ugumu wa kupata season zinafatia mbele
 
Back
Top Bottom