hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
Kama umaielewa vzr BB anza kuchek Better Call Saul.Baada ya kuona watu wanazisifia sana hizi series mbili ikabidi nizitafute.
Itoshe kusema breaking bad ni bonge la series.
Game of thrones nayo iko vizuri japokuwa sio kama breaking bad.
Msimu huu wa sikukuu naombeni list ya series kali za hivi karibuni,
Natanguliza shukrani
Uliachia utamu kirahisi sanaHonestly speaking nilianza elisode 1 ya B.bad ila haikunivutia, labda kwa aliyeielewa atuelezee kidogo utamu wake upo wapi.
Series ya kucheki hapo ni VIKING. hautapoteza muda.
Mambo ya uchawi uchawi n miujiza. Hata mm nimeikubali hiiAngalia FROM ni nzuri
Kwa hiyo, mwamba umeangalia season zote za Breaking Bad?, wewe mtu m_Bad!Baada ya kuona watu wanazisifia sana hizi series mbili ikabidi nizitafute.
Itoshe kusema breaking bad ni bonge la series.
Game of thrones nayo iko vizuri japokuwa sio kama breaking bad.
Msimu huu wa sikukuu naombeni list ya series kali za hivi karibuni,
Natanguliza shukrani
Bb inakuwa nzuri unavozidi kuiangalia, hasa kuanzia season 3 kuendelea , ukifika hapo huwezi kuiacha.Honestly speaking nilianza elisode 1 ya B.bad ila haikunivutia, labda kwa aliyeielewa atuelezee kidogo utamu wake upo wapi.
Series ya kucheki hapo ni VIKING. hautapoteza muda.
Kaicheki Movie box au telegram inapatikana mkuu, kama changamoto ni bando sogea maeneo yenye free wifiNaitafuta sana Breaking Bad...unaweza kunipatia nije na Flash ?
Kuna ile Part jamaa WW aliyosemaS1 E5 : minute 19
Badger: Dude, check this out.
Jesse: Jesus, what the hell are you bringing that for?
Badger: Hunting. We might see javelinas.Haka kakipande kalinifurahisha sana mpaka nikakagoogle hasa hilo neno Javelinas tamka Haavelina
Naomba link chiefKaicheki Movie box au telegram inapatikana mkuu, kama changamoto ni bando sogea maeneo yenye free wifi