Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,102
- 4,028
Una uhakika gani ya kuwa ni mtoto wako yaani damu yako?
Sent from my Hope10 Pro using JamiiForums mobile app
Hongera sana.
Hongera sana.
Upo sahihi Mkuu.
Sometimes watu wanapata matatizo kwasababu ya kufanya mambo mazuri na mabaya kwa makusudi.
Fanya mema na wema utakuwa wako.
N.b binadamu hatujakamilika lakini haimaanishi tufanye mabaya kwa kusudi.
Hongera msalime binti kimoso unyama mwingi.Shukran sana sana.
Barikiwa
Hongera msalime binti kimoso unyama mwingi.
Mtibel huyo kijana Mtibeli JR ndo mwanao Wa kwanza if yes mungu ni mwema.Zimemfikia Mkuu.
Shukran
Mtibel huyo kijana Mtibeli JR ndo mwanao Wa kwanza if yes mungu ni mwema.
Mbwa koko anapobweka ujue kaona fupaUmempata mtoto mwenzio ila tuombe asiwekiazi kama wewe
Hongera sana mkuu
Mkuu mtibeli nimechelewa kuiona hii. Hongera sana!