Nimemaliza mwaka huu kwa Kupata Mtoto wa kiume; huu ni Muhtasari wa Safari tangu mwezi Februari mwaka huu

Nimemaliza mwaka huu kwa Kupata Mtoto wa kiume; huu ni Muhtasari wa Safari tangu mwezi Februari mwaka huu

Upo sahihi Mkuu.

Sometimes watu wanapata matatizo kwasababu ya kufanya mambo mazuri na mabaya kwa makusudi.

Fanya mema na wema utakuwa wako.

N.b binadamu hatujakamilika lakini haimaanishi tufanye mabaya kwa kusudi.

Ni sahihi kabisa.
Binadamu hatujakamilika lakini lazima tujitahidi kutafuta ukamilifu
 
Back
Top Bottom