Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WanaJF asanteni sana kwa maelekezo yenu yaliyopelekea wkend yangu mjini hapa kuwa bomba. Asante Pretty kwa kile kiwanja ulichonilengesha jana. Nimekikubali haswa! Nanyi ikitokea mmekuja mkoani tutafuteni wanaJF tuwape mwelekeo. Big up,long live JF!

Acha usaniii wakukaribisha wakati hutaki kukaribisha.....Mkoani wapi (upi)sasa na wewe?

Mkuu mbona mkali, jamaa sialitaka tu kujua uko mkoa gani? Ilikuwa tu useme uko mo town ili hata mtu kama anakuja inakuwa rahisi kukupata mwanaJFWewe sio lazima uje kwangu. Nimesema atakaeenda mkoani atafute wanaJF wampe mwelekeo. Sio lazima uwe mkoa nilioko na wala sio lazima uwe wewe. Acha kushika kwenye makali,kamata kwenye mshikio mkuu. Karibu Moshi town.
WanaJF asanteni sana kwa maelekezo yenu yaliyopelekea wkend yangu mjini hapa kuwa bomba. Asante Pretty kwa kile kiwanja ulichonilengesha jana. Nimekikubali haswa! Nanyi ikitokea mmekuja mkoani tutafuteni wanaJF tuwape mwelekeo. Big up,long live JF!
Kibongoto
I hope you did not do what I would not do hapo Mjini, wasalimu kwa Sadalla!
Mkuu Masa umenikumbusha kuna ruti moja inaitwa sadalla boma sanya... kuna nyingine Kawawa road uchira himo na boda... daah siku nyingi Moshi!
WanaJF asanteni sana kwa maelekezo yenu yaliyopelekea wkend yangu mjini hapa kuwa bomba. Asante Pretty kwa kile kiwanja ulichonilengesha jana. Nimekikubali haswa! Nanyi ikitokea mmekuja mkoani tutafuteni wanaJF tuwape mwelekeo. Big up,long live JF!
Karibu sana Kibongoto, hii ndio Dar ipo tambarare kwa kujirusha. Next time ukija nitakuelekeza mitaa ya thai village.
Wasalimie huko mkoani..............!!!
WanaJF asanteni sana kwa maelekezo yenu yaliyopelekea wkend yangu mjini hapa kuwa bomba. Asante Pretty kwa kile kiwanja ulichonilengesha jana. Nimekikubali haswa! Nanyi ikitokea mmekuja mkoani tutafuteni wanaJF tuwape mwelekeo. Big up,long live JF!
Hii inanifanya nikuulize. wakati wa Nyerere ungweza kuyafanya hayo? ilikuwa ukija au kutoka mkoani ni safari ya kuaga kwa buriani, hujui utafika and sometimes utaondoka lini, na most of the times utapofika, utakuwa huna mawasiliano zaidi ya posta. Duh! halafu leo watu wanataka kumsifu!
Acha bla bla .....ulichemsha, tena unakana maneno yako mwenyewe........kukiri udhaifu ni uungwana......!Wewe sio lazima uje kwangu. Nimesema atakaeenda mkoani atafute wanaJF wampe mwelekeo. Sio lazima uwe mkoa nilioko na wala sio lazima uwe wewe. Acha kushika kwenye makali,kamata kwenye mshikio mkuu.
Karibu Moshi town
Haya ndiyo maneno uliotakiwa useme, sio bla bla za hapo juu bana!
Unaanzisha mada nyingine mpya kabisa mkuu. Ipeleke kwenye siasa tuijadili ila hapa tupo ktk burudani tu (au kwa kimombo "entertainment"). Ndio maana kuna watu walikumbushana mengi ya sisimizi bar na sehem zao za misosi kule mlimani,hakuna aliewabugudhi kwani walikua ktk jamvi linalohusiana na hayo. Karibu tunywe soup tuwahi mzigo sasa,wkend kwishnei!!