Nimemaliza wkend yangu sasa Narudi Mkoani

Kibongoto

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2009
Posts
227
Reaction score
5
WanaJF asanteni sana kwa maelekezo yenu yaliyopelekea wkend yangu mjini hapa kuwa bomba. Asante Pretty kwa kile kiwanja ulichonilengesha jana. Nimekikubali haswa! Nanyi ikitokea mmekuja mkoani tutafuteni wanaJF tuwape mwelekeo. Big up,long live JF!
 
Nakutakia safari njema!
 
Acha usaniii wakukaribisha wakati hutaki kukaribisha.....Mkoani wapi (upi)sasa na wewe?
 
Wewe sio lazima uje kwangu. Nimesema atakaeenda mkoani atafute wanaJF wampe mwelekeo. Sio lazima uwe mkoa nilioko na wala sio lazima uwe wewe. Acha kushika kwenye makali,kamata kwenye mshikio mkuu. Karibu Moshi town.
 
Kibongoto bana usisikilize kila mtu hapa. Kuna wengine wameamka nazo kichwani hapa. Umemaliza salama wkend yako wahi nyumbani kesho ukapige job mkuu. Safari njema!!!
 
Wewe sio lazima uje kwangu. Nimesema atakaeenda mkoani atafute wanaJF wampe mwelekeo. Sio lazima uwe mkoa nilioko na wala sio lazima uwe wewe. Acha kushika kwenye makali,kamata kwenye mshikio mkuu. Karibu Moshi town.
Mkuu mbona mkali, jamaa sialitaka tu kujua uko mkoa gani? Ilikuwa tu useme uko mo town ili hata mtu kama anakuja inakuwa rahisi kukupata mwanaJF
 
Keshasema hapo kua anakaa moshi huyo. Mwacheni aende afike salama jamani. May be yuko Chalinze sasa anakimbiza lami tu.
 
WanaJF asanteni sana kwa maelekezo yenu yaliyopelekea wkend yangu mjini hapa kuwa bomba. Asante Pretty kwa kile kiwanja ulichonilengesha jana. Nimekikubali haswa! Nanyi ikitokea mmekuja mkoani tutafuteni wanaJF tuwape mwelekeo. Big up,long live JF!

umekumbuka kuwanunulia zawadi ndugu na jamaa ?
 
Kibongoto

I hope you did not do what I would not do hapo Mjini, wasalimu kwa Sadalla!
 
Mkuu Masa umenikumbusha kuna ruti moja inaitwa sadalla boma sanya... kuna nyingine Kawawa road uchira himo na boda... daah siku nyingi Moshi!
 
Moshi balaa mazee nilipanda dala dala mwaka 2001 kwenda kwenda boda... jamaa walikuwameng'oa viti wameweka vigoda, tingo alikuwa anasema bwashem gari haijai inajaa chupa ya maji, sogea nyuma....ile hiace (Kipanya) nadhani tulikuwa mtu kama 60, kuna wazee walikuwa na kuku na mbege zao siwezi sahau ile adha....
 
WanaJF asanteni sana kwa maelekezo yenu yaliyopelekea wkend yangu mjini hapa kuwa bomba. Asante Pretty kwa kile kiwanja ulichonilengesha jana. Nimekikubali haswa! Nanyi ikitokea mmekuja mkoani tutafuteni wanaJF tuwape mwelekeo. Big up,long live JF!

Karibu sana Kibongoto, hii ndio Dar ipo tambarare kwa kujirusha. Next time ukija nitakuelekeza mitaa ya thai village.
Wasalimie huko mkoani..............!!!
 
Nimefika salama na salam zenu wote nimezifikisha. Sasa kazi wakuu. Karibuni, ukifika hapa uliza Kibongoto road basi niPM nikuelekeze viwanja vya hapa kwetu. Kazi njema wanaJF wote!!!
 
WanaJF asanteni sana kwa maelekezo yenu yaliyopelekea wkend yangu mjini hapa kuwa bomba. Asante Pretty kwa kile kiwanja ulichonilengesha jana. Nimekikubali haswa! Nanyi ikitokea mmekuja mkoani tutafuteni wanaJF tuwape mwelekeo. Big up,long live JF!

Hii inanifanya nikuulize. wakati wa Nyerere ungweza kuyafanya hayo? ilikuwa ukija au kutoka mkoani ni safari ya kuaga kwa buriani, hujui utafika and sometimes utaondoka lini, na most of the times utapofika, utakuwa huna mawasiliano zaidi ya posta. Duh! halafu leo watu wanataka kumsifu!
 
Unaanzisha mada nyingine mpya kabisa mkuu. Ipeleke kwenye siasa tuijadili ila hapa tupo ktk burudani tu (au kwa kimombo "entertainment"). Ndio maana kuna watu walikumbushana mengi ya sisimizi bar na sehem zao za misosi kule mlimani,hakuna aliewabugudhi kwani walikua ktk jamvi linalohusiana na hayo. Karibu tunywe soup tuwahi mzigo sasa,wkend kwishnei!!
 
Wewe sio lazima uje kwangu. Nimesema atakaeenda mkoani atafute wanaJF wampe mwelekeo. Sio lazima uwe mkoa nilioko na wala sio lazima uwe wewe. Acha kushika kwenye makali,kamata kwenye mshikio mkuu.
Acha bla bla .....ulichemsha, tena unakana maneno yako mwenyewe........kukiri udhaifu ni uungwana......!

Karibu Moshi town

Haya ndiyo maneno uliotakiwa useme, sio bla bla za hapo juu bana!
 
Unaanzisha mada nyingine mpya kabisa mkuu. Ipeleke kwenye siasa tuijadili ila hapa tupo ktk burudani tu (au kwa kimombo "entertainment"). Ndio maana kuna watu walikumbushana mengi ya sisimizi bar na sehem zao za misosi kule mlimani,hakuna aliewabugudhi kwani walikua ktk jamvi linalohusiana na hayo. Karibu tunywe soup tuwahi mzigo sasa,wkend kwishnei!!

Ndio hapo, hii starehe ungeipata wakatii huo? Siasa na uongozi mzuri ndio una determine wanachi wanaweza kustarehe au la.
 
Back
Top Bottom