Nimembagaza huyu Dada anataka tena nimbanange. Watanzania tukemee tabia hiyo mbaya

Mabinti zetu siku hizi ndio fashion wanadai yanasaidia kutunisha nyashi na kuleta shepu
Sijui nani kawadanganya baada ya muda mwanamke akisimama unaona maji maji huko nyuma
Kwa wanaume madhara ni makubwa ikiwemo kuziba njia ya mkojo na hata kansa ya njia ya mkojo
 
Ulikua na point nzuri sema umeharibu kwenye nyagi na mdudu
 
min -me , Monetary doctor , MENEMENE TEKERI NA PERESI , Castle_Lite , Moisemusajiografii

Huyu jamaa anasema pombe ni mbaya embu tumpe nenooooo ushuhudaaa mmoja kuwa pombe sio MBAYA..

Pombe haijawai kuwa mbaya tatizo ni MTU mwenye.
 
Astakafirullah astakafirullah astakafirullah astakafirullah msiba mzito huu
 
Kwenye maelezo yako yote naomba umtoe ngurue maana hausiki kabisa na hayo mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…