Mangwea1900
JF-Expert Member
- May 29, 2025
- 2,484
- 3,277
Mabinti zetu siku hizi ndio fashion wanadai yanasaidia kutunisha nyashi na kuleta shepu
Sijui nani kawadanganya baada ya muda mwanamke akisimama unaona maji maji huko nyuma
Kwa wanaume madhara ni makubwa ikiwemo kuziba njia ya mkojo na hata kansa ya njia ya mkojo