Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

Wadada wengi wenye mishahara mikubwa wanaishi maisha ya juu sana. Kuna ninaofanya
Umemaliza mkuu👊
Classic halafu anaomba 300k, huyu ni adadanga tu. Wanawake classic hatuomvagi hela. We cover our own bills
 
Hahah, Sophy dunia ina mambo sana. Huyu kama ana kipato cha 2m kwa mwezi lazima jamaa asumbuke.
Kwakweli sie wa 200k sio maslay queen hatujui kuvaa sio classic acha wafe na stress hivo ela anavomwaga angekuwa amefanyia kitu Cha maana huenda angekuwa na mwanamke mwenye akili angekuwa na nyumba hata 2😀😀😀
 
I la kuna watu ni waongo duniani aash
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…