Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

Jmn njoo Kwangu
Mi uwe unanipa mwenyewe tu sikuombiπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ€£πŸ€£

Tuache utani Kuna watu Wana bahatiπŸ™Œ
 
Khaaaa
 
Hizo unapewa tu kwa mfumo wa zawadi 🀣
Mmh huo ubahili ss jmn

Kwahiyo nataka kwenda saluni niseme
Nataka kwenda kupaka rangi niseme
Nimeona kitu kizuri nimekipenda niseme
Nataka kiatu,nguo nisemeπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜³
 
Demu??? Mademu.

Nani ana demu mmoja nioneshe hapa.
Lkn wanaume na nyie kinachowaponza mna kuwa na videmu huku na kule ndio mana vizinga vikianza lazima penzi life. Nawaza kama jamaa demu mmoja anaomba laki3 na labda anao kama wanne hivi lazima akimbie [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…