Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

Hahahah kaishiwaje huyo au analipa kodi Masaki
Hahaa sasa nikamuuliza ok leo nitakupa hela itakusukuma siku kadhaa, vipi siku zinazofuta akanijibu siku za mbele nitajua nini cha kufanya.

Nilivyosikia tu hilo jibu lake nikampuuzia sijampa hata mia hadi sasa. Najua kuna kitu anataka anunue au afanye ila amenidanganya kuwa ameishiwa ya kula ili atumie hela zangu zake anazionea ubahiri

Mwanamke pekee anayetunzwa na kuhudumiwa ni mtoto wa mama mkwe aliyehalalishwa tu mama ya watoto wangu

Wengine wa nje ni kuwatreat kama malaya tu kupiga na kudump 🗑🚮
 
Hahahah ukimpa tu utashangaa ana iphone 14 🤣🤣🤣
 
Hahahah ukimpa tu utashangaa ana iphone 14 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 si ndio shenzi sana hawa wanawake ombaomba. Sasa alipolala yeye ndipo nilipoamkia

Kwanza wana mabwana wengi sio wa kuwaonea huruma. Kuna mjinga mjinga katika circle yake atampiga kizinga huko amtimizie shida zake
 
Wana hilo tatizo. Anataka nawe uwe kila wakati unamsifia. Akisifiwa nje anaona wewe humpendi ila wa nje ndo wana mpenda au kumthamini. Anasahau kuwa upo naye sababu ulimpenda na unaendelea kumpenda.
 
Ghafla ameacha kukupenda😂
 
Naunga hoja
Kuna mmoja hata kumla sijamla kila saa analia shida nimemuacha kimya kimya anapiga simu inaita unakata no response lazima tuondokane na jamii za wanawake wa staili hii wanatia umaskini kinoma
 
Nipe namba yake.. mkuu kama humtaki
 
Mwanamke kama Hana akili ukifuga ujinga utakuua mapema mwanaume asie jiamini Na asie Na maamuz huwa ndio wanafuga ujinga wakiamin ndio upendo kumbe unateketekea unakuwa mtumwa
Nenda na wa size yakoo
 
Hii Chai sasa.

Mwanamke anayeingiz 2M salary hawezi kuwa maandazi hivyo.

Acha kudharau pesa
 
Kama ulikuwa hujui basi habari ndio hiyo.

Ukiona mwanamke anakuomba pesa bila mpango huyo hakupendi na hajali.

Mwanamke anayekupenda anajali na future yako.

Sema nini wapo wanaume wakiona sketi tu akili zinahama.na wanapigwa sana na wadada wajanja wa mjini.

Ndio maisha lakini.

Uzeeni tutakutana tu
 
Kuna mmoja hata kumla sijamla kila saa analia shida nimemuacha kimya kimya anapiga simu inaita unakata no response lazima tuondokane na jamii za wanawake wa staili hii wanatia umaskini kinoma!
Vijana wengi hata wabab wengi sasa hivi wanamaisha magumu sio kwa sababu huko nyuma hawakuwa kupata pesa au vipato vya kuwaendeleza. Bali walijikita kwenye kuhonga.

Imagine una kipato cha laki moja kwa wiki. Kila week unatoa 30 kwa mwanamke. Ukitoa za kwako za matumizi unabaki na ngapi?

Utaishia kulauma ccm tu kwamba haileti ajira na maisha magumu miaka inaenda miaka inarudi.

Wanaume wengi pesa zimeishiwa kwa wanawake.
 
Wanaoelewa hiki ni wachache sn mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…