Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

...yaani ulimpa hawara sh 150,000 badala ya kumtumia baba au mama yako akakutamkia baraka?
 
Mkuu ni made up story, mtu mwenye mshahara wa over 2m net salary gross salary yake ni karibu 5m, huyo hawezi kua na tabia kama hizo unazotaka kuzionyesha hapo anaomba omba 150k.

Hii ni habari ya kupika.
 
Piga nyama chini, mtu ana 2M halafu analilia 300k? tena muite gonga mzigo hala MKAPUE MABANZI YA USO
 
hawara wa kukuomba pesa kila mara si wa kumpa. Hata kama baba anazo hizo mara milioni. Ni bora umpe tu baba yako, ni urithi wako wa baadaye.

hawara wenyewe wa tz unaweza ukakuta akipewa naye anahonga kibenten chake
Toa hela.. ukiona hawara anaomba sana si usepe? Nini mnakuja kujiliza hadharani? Uwaga mnalazimishwa kwani ama

Mtu ameomba mpe nyeupe kabisa sina. Sio kuanza kuandika essay mbali mbali, ama nakupa robo yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…